diploma ni nzuri maana utasoma miaka miwili then kama ukipenda kusoma degree itakua poa pia....ukimaliza diploma utakua tofauti na wa form6 maana tayari utakua na ujuzi na hata degree haitokusumbua kivile....ila sijajua maswala ya loan(kama utahitaji) itakuaje??? na kusoma form6 kiasi flani ina kaugum tofauti na diploma....Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012. Katika matokeo yangu nimebahatika kupata Div One ya point 11...PHY-A, CHEM-A, MATH-A, BIO-C, Additional MATH-B....ningpenda kujua kati ya A level na DIT (technical education) ipi ni nzur zaidi, na kama DIT ni kuzuri zaidi, je Mining Engineering ina soko katika ajira (wahandisi hulipwa mshahara gani?)
Asenteni.
diploma ni nzuri maana utasoma miaka miwili then kama ukipenda kusoma degree itakua poa pia....ukimaliza diploma utakua tofauti na wa form6 maana tayari utakua na ujuzi na hata degree haitokusumbua kivile....ila sijajua maswala ya loan(kama utahitaji) itakuaje??? na kusoma form6 kiasi flani ina kaugum tofauti na diploma....
nimekwelewa mkuu....hatunaga diploma of engineer ila ni diploma of engineering in mining engineering!!!!Diploma of Engineer in Mining engineering ni miaka mitatu na hata Mech, Electr na Civil ni hivyo tu
si umeyashaachana na a level sasa soko la nini tena kilikufanya uachague huko ninin!mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012. Katika matokeo yangu nimebahatika kupata div one ya point 11...phy-a, chem-a, math-a, bio-c, additional math-b....ningpenda kujua kati ya a level na dit (technical education) ipi ni nzur zaidi, na kama dit ni kuzuri zaidi, je mining engineering ina soko katika ajira (wahandisi hulipwa mshahara gani?)
asenteni.