Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
HAPANA; KINYUME CHAKE NDIYO SAHIHI. NI MAELEZO AMBAYO MATUKIO YA ASILI HUWA YANAFUATAKanuni za kisayansi ni maelezo tu ambayo yanafuata matukio ya asili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPANA; KINYUME CHAKE NDIYO SAHIHI. NI MAELEZO AMBAYO MATUKIO YA ASILI HUWA YANAFUATAKanuni za kisayansi ni maelezo tu ambayo yanafuata matukio ya asili.
Kwa hiyo unataka kuniambia kwamba baada ya isaack kuvumbua kanuni ya third law of motion ndio sasa tukaanza kuona matendo yote yana matokeo ?HAPANA; KINYUME CHAKE NDIYO SAHIHI. NI MAELEZO AMBAYO MATUKIO YA ASILI HUWA YANAFUATA
Mbona unanichanganya sasa mkuu.HAPANA. KANUNI HIZI ZILIKUWEPO KABLA, VINGINEVYO WALIOZIVUMBUA WASINGEWEZA KUZIVUMBUA KAMA ZISINGEKUWEPO KABLA
ZILIKUWEPO ILA ZILIKUWA HAZIJULIKANI RASMI
NATURAL LAWS ZINA EXIST BILA KUJALI KUWA WEWE UNAZIJUA AU HUZIJUI
Mwanasayansi havimbui kanuni za asili bali anagundua kanuni za asili.Kwa hiyo unataka kuniambia kwamba baada ya isaack kuvumbua kanuni ya third law of motion ndio sasa tukaanza kuona matendo yote yana matokeo ?
Hiyo haiwezi kuwa na ukweli wowote mkuu.
Kanuniz za wanasayansi zimekuta matukio ya asili tokea enzi na enzi.
Wao walichofanya ni kuyasoma matukio hayo na kutengeneza kanuni na kuturahisishia sisi.
LABDA PENGINE KISWAHILI CHANGU NDYO SHIDA. NATURAL LAWS ZINAKUWEPO KWANZA HALAFU MAELEZO YA NAMA YA UTENDAJI WAKE NDIYO YANAFUATA. BAADA YA HAPO SASA, NATURAL LAWS ZINAANZA KUWA ZIINAFUATA MAELEZO HAYO KWA MAANA KWA,MBA, UKITAKA KUZIELEWA, UNASOMA MAELEZO HAYOKwa hiyo unataka kuniambia kwamba baada ya isaack kuvumbua kanuni ya third law of motion ndio sasa tukaanza kuona matendo yote yana matokeo ?
Hiyo haiwezi kuwa na ukweli wowote mkuu.
Kanuniz za wanasayansi zimekuta matukio ya asili tokea enzi na enzi.
Wao walichofanya ni kuyasoma matukio hayo na kutengeneza kanuni na kuturahisishia sisi.
Sasa tupo sambamba mkuu.LABDA PENGINE KISWAHILI CHANGU NDYO SHIDA. NATURAL LAWS ZINAKUWEPO KWANZA HALAFU MAELEZO YA NAMA YA UTENDAJI WAKE NDIYO YANAFUATA. BAADA YA HAPO SASA, NATURAL LAWS ZINAANZA KUWA ZIINAFUATA MAELEZO HAYO KWA MAANA KWA,MBA, UKITAKA KUZIELEWA, UNASOMA MAELEZO HAYO
Nafikiri hapa umeiweka hoja yako kwa usahihi. Hicho ndicho nilichokisema mimi.Kanuni za kisayansi ni maelezo tu ambayo yanafuata matukio ya asili.
Mfano newton third law of motion ni kanuni ya kisayansi ambayo imefuata matukio ya asili ambayo yakamfanya bwana newton ahitimishe kwa kusema kwamba "for every action there is an equal and opposite reaction.
nadhani mkuu wewe ndio hujanielewa.
wanasaysnsi wanayatafakari matukio ya asili then ndio huyatungia kanuni kupitia matukio hayo akbayo wameyakuta hapa ulimwenguni.
Hapana!HAPANA. KANUNI HIZI ZILIKUWEPO KABLA, VINGINEVYO WALIOZIVUMBUA WASINGEWEZA KUZIVUMBUA KAMA ZISINGEKUWEPO KABLA
ZILIKUWEPO ILA ZILIKUWA HAZIJULIKANI RASMI
NATURAL LAWS ZINA EXIST BILA KUJALI KUWA WEWE UNAZIJUA AU HUZIJUI
Umenisahihisha kwa ufasaha zaidi mkuu shukrani sana.Hapana!
Huo msamiati "natural laws" ni kitu kipya umekileta kwenye mjadala ambacho hakihusiani na mjadala. Natural laws ni nadharia za kifalsafa zinayohusiana na masuala ya haki, maadili na wajibu wa kibinadamu. Huo ni mjadala mwingine kabisa, nisingependa kuingia zaidi huko.
Mambo makuu mawili katika mjadala uliopo ni kanuni za kisayansi (scientific laws) pamoja na matukio ya asili (natural phenomena). Kitu ambacho kimekuwepo kabla ya binadamu [na wanasayansi] ni natural phenomena. Baadaye ndipo wanasayansi wakavumbua scientific laws in kuzielezea hizo natural phenomena.
✅🙏🙏🙏Baada ya salamu naomba kushare nanyi jambo hili ambalo nimekuwa nikilitafakari kwa siku nyingi sana.
Kuhusu mambo ya kilimwengu hasa haya mambo ya sayansi na technolojia.tukiangalia namna tunavyopata picha katika tv kupitia ving'amuzi mbalimbali na sauti na watu tukawaona live pale kwenye screen, naamini fika kuna kanuni za kilimwengu ambazo zinaongoza haya mambo bado hatujazijua vizuri
Ni jambo kubwa sana kuona tukio la kigoma live ukiwa pale gongo la mboto ukiangalia television.lakini leo tunaona na ni kweli.
Tunaongea na mtu akiwa mbali kabisa kupitia simu na bado tunasikiana,hili linafikirisha sana hawa waliogundua walitumia fika akili zao
Kinachonifanya nione kuwa kuna kanuni za asili zinaendesha haya mambo ni kwa sababu zifuataza.
1.Wote tumekuja duniani tumekuta kanuni zipo tayari tokea hapo zamani tulichofanya ni kutumia hizo kanuni na sio kuzianzisha.
Mfano kanuni ya third law of motion hii ilikuepo tangu na tangu hata kabla ya isaack hajazaliwa,kazaliwa kaikuta kabisa hii kanuni akaanza kufanya mambo yake kupitia hii kanuni.
Na kanuniz zingine nyingi sana.
Mfano mzuri ni kanuni ya kusafirisha mawimbi ya sauti kutoka kwenye simu yangu kuja kwenye simu yako ukiwa mbali.
Ninaamini kuna kanuni ya asili ambayo hao waliotengeneza simu wameikutawao wakaunda vifaa tu na kuacha kanuni za asili zifanye kazi yake.
Siamini kama wao ndo wanasafirisha hizo sauti kutoka kwa mtu kwemda kwa mtu,bali kanuni za asili ndo zinafanya mambo hayo.
Hata katika mambo mbalimbali ya kusafirisha picha kutoka kigoma live kuja dar tukaona kwemye tv naamini kuna kanuni za asili zinazoongoza haya mambo.
Ninaamini kanuni hizo sio kwamba zimejificha,zipo ila tunaweza kuzipata kupitia matendo yetu ya kawaida ya kila siku tukatumia kanuni hizo kufanya matendo makubwa zaidi.
Mfano mimi naamini kuwa mtoto analijua jina lake kwa sababu ya kuitwa mara nyingi jina hilo na watu wakimuangalia yeye,kupitia kanini hiyo ya marudio ya sauti mtoto anajua kuwa hapa anaitwaax yeye na hilo ndio jina lake.
Hivyo kupitia kanuni hii ya asili ya marudio,mtoto mdogo ukimuita jina lake mara 1000 kwa siku kwa muda wa mwaka mmoja.
Na mtoto mwingine kwa siku ukamuita jina lake mara 1 kwa siku kwa muda wa mwaka,basi huyo wa mara 1000 atajua mapeema kuwa hilo ni jina lake na huyu wa mara 1 atachelewa kujua jina lake.
Hii ina maana ya kuwa kutumia kanuni hii ya asili ya marudio tunaweza kumpa jina paka,au mbwa au hata panya unaemfuga kwa kurudiarudia kumuita jina hilo.
Sio kwamba wanaowapa majina wanyama kuwa wao wamesababisha na wanauwezo hapana,bali walitumia kanuni ya asili ya marudio ambayo wameikuta duniani kufanya mambo yao ambayo yanategemea kanuni hizo.
Je, una mawazo yeyote juu ya hili suala ?
Karibu
Ni natural laws of Physics, kwa kirefu chake.Tunaweza pia kutumia terminology Natural Pricipals; kama hiyo inaleta shida. By the way, hudhani KUWA natural phenomena ni mama mzazi WA natural laws of Physics?Hapana!
Huo msamiati "natural laws" ni kitu kipya umekileta kwenye mjadala ambacho hakihusiani na mjadala. Natural laws ni nadharia za kifalsafa zinayohusiana na masuala ya haki, maadili na wajibu wa kibinadamu. Huo ni mjadala mwingine kabisa, nisingependa kuingia zaidi huko.
Mambo makuu mawili katika mjadala uliopo ni kanuni za kisayansi (scientific laws) pamoja na matukio ya asili (natural phenomena). Kitu ambacho kimekuwepo kabla ya binadamu [na wanasayansi] ni natural phenomena. Baadaye ndipo wanasayansi wakavumbua scientific laws in kuzielezea hizo natural phenomena.