Ninaamini kuna kanuni za siri tena rahisi zinazoratibu mambo haya ya Ulimwengu hasa Teknolojia

HAPANA; KINYUME CHAKE NDIYO SAHIHI. NI MAELEZO AMBAYO MATUKIO YA ASILI HUWA YANAFUATA
Kwa hiyo unataka kuniambia kwamba baada ya isaack kuvumbua kanuni ya third law of motion ndio sasa tukaanza kuona matendo yote yana matokeo ?

Hiyo haiwezi kuwa na ukweli wowote mkuu.

Kanuniz za wanasayansi zimekuta matukio ya asili tokea enzi na enzi.

Wao walichofanya ni kuyasoma matukio hayo na kutengeneza kanuni na kuturahisishia sisi.
 
HAPANA. KANUNI HIZI ZILIKUWEPO KABLA, VINGINEVYO WALIOZIVUMBUA WASINGEWEZA KUZIVUMBUA KAMA ZISINGEKUWEPO KABLA
ZILIKUWEPO ILA ZILIKUWA HAZIJULIKANI RASMI
NATURAL LAWS ZINA EXIST BILA KUJALI KUWA WEWE UNAZIJUA AU HUZIJUI
Mbona unanichanganya sasa mkuu.

Uneniquote unapinga ila hapa unakubaliana na maelezo yangu dahπŸ˜€
 
Mwanasayansi havimbui kanuni za asili bali anagundua kanuni za asili.
 
Kasome Information tech utaonana na vyote ivo

utajua pia kwann maandishi yana display kwenye simu yako
 
Kasome Information tech utaonana na vyote ivo

utajua pia kwann maandishi yana display kwenye simu yako
Hiyo sio shida yangu mkuu.

Nilichokiwasilisha kwenye uzi ndio ilikuwa shida yangu haswa.
 
LABDA PENGINE KISWAHILI CHANGU NDYO SHIDA. NATURAL LAWS ZINAKUWEPO KWANZA HALAFU MAELEZO YA NAMA YA UTENDAJI WAKE NDIYO YANAFUATA. BAADA YA HAPO SASA, NATURAL LAWS ZINAANZA KUWA ZIINAFUATA MAELEZO HAYO KWA MAANA KWA,MBA, UKITAKA KUZIELEWA, UNASOMA MAELEZO HAYO
 
Sasa tupo sambamba mkuu.

Mfano mimi nikisema "ukirusha jiwe katika hewa kwa nguvu,lile jiwe litaenda katika mstari mnyoofu bila kupindapinda popote mpaka linadondoka"

Hilo ni tendo la asili ambalo tumelikuta kwamba jiwe ukilirusha litaenda straight line bila kupindapinda.
 
Nafikiri hapa umeiweka hoja yako kwa usahihi. Hicho ndicho nilichokisema mimi.

Mwanzoni kwenye uzi wako ulisema: "Wote tumekuja duniani tumekuta kanuni zipo tayari tokea hapo zamani tulichofanya ni kutumia hizo kanuni na sio kuzianzisha."

Hiyo kauli yako ya awali kabisa haikuwa sahihi. Kanuni za kisayansi hazikuwepo kabla ya wavumbuzi wake kuwepo. Kilichokuwepo kabla ya hapo ni matukio ya asili. Hivyo badala ya kutumia neno "kanuni", ulipaswa kutumia msamiati "matukio ya asili".
 
HAPANA. KANUNI HIZI ZILIKUWEPO KABLA, VINGINEVYO WALIOZIVUMBUA WASINGEWEZA KUZIVUMBUA KAMA ZISINGEKUWEPO KABLA
ZILIKUWEPO ILA ZILIKUWA HAZIJULIKANI RASMI
NATURAL LAWS ZINA EXIST BILA KUJALI KUWA WEWE UNAZIJUA AU HUZIJUI
Hapana!

Huo msamiati "natural laws" ni kitu kipya umekileta kwenye mjadala ambacho hakihusiani na mjadala. Natural laws ni nadharia za kifalsafa zinayohusiana na masuala ya haki, maadili na wajibu wa kibinadamu. Huo ni mjadala mwingine kabisa, nisingependa kuingia zaidi huko.

Mambo makuu mawili katika mjadala uliopo ni kanuni za kisayansi (scientific laws) pamoja na matukio ya asili (natural phenomena). Kitu ambacho kimekuwepo kabla ya binadamu [na wanasayansi] ni natural phenomena. Baadaye ndipo wanasayansi wakavumbua scientific laws in kuzielezea hizo natural phenomena.
 
Umenisahihisha kwa ufasaha zaidi mkuu shukrani sana.
 
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ni natural laws of Physics, kwa kirefu chake.Tunaweza pia kutumia terminology Natural Pricipals; kama hiyo inaleta shida. By the way, hudhani KUWA natural phenomena ni mama mzazi WA natural laws of Physics?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…