The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa
Wale mliokuwa mnafuatiliaga thread zangu kwenye id yangu iliyopigwa life ban mtakumbuka nililetaga script ya movie ya The Curse of Makinikia na The return of Doctor Shika.
Kwenye hizo Script mbili Jiwe na Doctor Shika walikuwa wanatembenza mkono wa hatariiiii. Kulikuwa na part doctor Shika alikuwa anapiga samasolti kadhaa mezani huku akigawa dozi za maana kwa adui zake moscow.
Sasa hii ya korosho japo naendelea kuiandika na kuiandaa sijapata jina kamili mtanisaidia na nyinyi wena jamvi jina gani ya script ya hii movie. Kuna haya majina yameniijia The Korosho Encounter, The curse of the nuts, The Korosho defender.
Kwenye hii script nayo mkono unatembea laana na vitu vyenye ncha kali na butu