Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Ninaapa Mbele Ya Mbingu Na Ardhi Pamoja Navilivyomo Kwamba- Hawa Jamaa Wanaojiita Wakimataifa Ambao Masaw Bwire Amewananii Square Hatakama Wangecheza Dhidi Ya Majambaz, Basi Niuawe Tu Baada Ya Game! Maana Nitakua Upande Wamajambazi Tena Jambaz Kubwa Lao! Na Wakicheza Nawachawi Mie Nitakua Lichawi Tena Lamchana Kweupe Peeee! Nipo Tiari Kukatwa Mapanga! Na Yanga Akicheza Nawaongo Fc Nitakua Kiongozi Wa Waongo! Naapa.