Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Haya matendo uwa yapo na yana kuwepo mfano kwa idd amini ilishafanyika,sudan ya kaskazini na sasa naona kwa tanzania kufanyika tena kuna hatari kubwa.
Katika majukumu yangu juzi tarehe 8 mwezi wa saba pale kahama kulikuwa na jubilee kanisa la roma .Ila kilicho isikitisha kulikuwa na matumizi makubwa ya polisi kuwekwa na wengine wakiwa na bunduki.
Kihualisia ni kama upande fulani wamewekwa kwenye kundi hatari ambalo wasi wasi wake na watu wao wanaona imani zao kuwa hawapo upande wao.
Ili limenifanya kutafakari jinsi utamu wa madaraka unavyoweza kutafuta wanaokuunga mkono kwa mtindo wa nguvu mfano kutumia udini wako kama mtawala,kutumia nguvu ya kikanda,ukabira, historia nazo zinatokea sana.
Msilo lijua hapa kuna sheria zinakuja kuwekwa ili kumsafisha ni hii ya kupitisha sheria za Islamic law .Na zipo mbioni ndio maana unaona wakina mwaipopo wanajigamba