Sasa kama sio hoja mbona maelezo mengi kujieleza.Bunduki za nini na vikosi vya kutuliza gasia kwenye maeneo ya dinihauna hoja mkuu...
Ni kwamba kulikuwa na jibilei ya miaka 25 ya Askofu Ndizeye, maaskofu wenzake wengi kutoka sehemu mbali mbali walikuja kahama.
ni lazima usalama uimarishwe, kumbuka mambo yaliyo tokea Olasiti Arusha, Bomu lili rushwa.
sioni kosa lolote hapo kuweka ulinzi mkali
hoja zilipo mezani ziwe-Lissu awe huru bila mashariti kama ya Mboye..,
Kwa uelewa wako ulinzi hautakiwi kuwepo kwenye maeno ya mikusanyiko ya kidini?Sasa kama sio hoja mbona maelezo mengi kujieleza.Bunduki za nini na vikosi vya kutuliza gasia kwenye maeneo ya dini
Zitakuwa akili za dabo kickKwa hiyo mkipewa ulinzi kwenye mkusanyiko uliohusisha viongozi wengi wa ngazi za juu za dhehebu unaona ni tatizo? ILA kukitokea changamoto yoyote ya kiusalama mtalalamika kuwa Polisi hawakuwapa ulinzi?
Akili za wapi hizi????
Mkuu nakuhakikishia hicho kitu ondoa kichwani mwako. Hii nchi ilishavuka hiyo hatua kitambo. Kamwe, natudia tena kamwe hii nchi hazitakuja kuwa na Sheria zenye mrengo wa dini yoyote.Weka kumbukumbu utanikimbuka na kusema FBS nilisema