kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola.
Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao ndio wamiliki wa Tanzania na vyote vilivyomo. Na hivyo kujifanyia wanavyotaka hadi kuvuruga uchaguzi. Kumbuka .KANU haipo lakini kenya ipo. Vile vile kule zambia na Malawi vyama vikongwe vya mafisadi vilisha jifia siku nyingi lakini inchi husika zipo. Hivyo basi CCM itaondoka na infact inatakiwa iondoke lakini Tanzania itaendelea kuwepo.