Ninachoendelea kujifunza kwenye sakata la Ajibu

Ajib alisajiliwa na simba muda mrefu nadhani toka april au march alipewa hela (kiasi sijui) na gari Harrier

Hili la TP limekuja tu juzi yeye hakuwa na jinsi huwezi kumlaumu sana. #
 
Tumekuwa wakubwa sasa;
Mechi za mchangani tumeachia wengine

Tunao uwezo wa kuchukua mchezaji yeyote yule tokea timu yeyote ile kubwa Africa; sembuse huyu dogo; tumefuka dau kubwa kuliko mazembe, migomba akajisemea bora abaki kwenyerere hapa hapa
Hapo unadanganya Simba inauwezo wa kushinda na Al Ahly, Raja Casablaca au Zamalek kwenye usajili? Hapana
Makusu wa AS Vita juzi kasajiliwa na Barkane ya Morocco kwa millioni 800 Huku akilipwa milioni 86 kwa mwezi utasema sema amefika level hizi?
Usifanishe usajili wa Ajibu aliesaini pre contact na Simba kwa dau la milioni 77 na timu zinazolipa transfer fee Hadi bilioni kwa mchezaji 1.
Juzi Mo kasema bado Simba inakiendesha kihasara. Simba inandoto za kufikia level za Al Alhy na TP Mazembe lakini iko safarini taratibu itafika. Mazembe Wana uwanja na ndege binafsi Huku Simba bado aiseee
 
Suala la Ajib litaendelea kutuchanganya sana mpaka ukweli uekwe wazi na yeye mwenyewe, meneja wake au simba. Lakini kama alisaini pre contract na Simba kabla ya Mazembe hawajamfuata kama wanavyosema wengine hapo juu basi Ajibu asilaumiwe. Ila kama ameikacha Mazembe sababu ya Simba atakuwa kachemka.

Ila Simba nayo ijiangalie kwenye usajili wake. Ajibu ni fundi sana wa mpira sidhani kama kuna mchezaji wa kibongo (kuacha wageni) anayemfikia ila mvivu wa mazoezi labda kama wamemsajili kwa masharti maalum akizembea mazoezi wamkate mshahara..
 
We ndo umeongea point
 
I prefer mtu anayecheza kwa mapenzi ya dhati kwanza halafu ndo pesa inafuatia .. ..huyo ana nyodo na naomba mizimu yangu ikatae hilo jambo kutokea ..we.dont need him
Tumekuwa wakubwa sasa;
Mechi za mchangani tumeachia wengine

Tunao uwezo wa kuchukua mchezaji yeyote yule tokea timu yeyote ile kubwa Africa; sembuse huyu dogo; tumefuka dau kubwa kuliko mazembe, migomba akajisemea bora abaki kwenyerere hapa hapa
 
Milioni 86 kwa mwezi ???? Maaaaweeee daaah maisha haya
 
Bora umesema ukweli mkuu..

Kwanza simba aliondoka kwa nyodo sababu hakutaka kuambiwa ukweli kwamba ni mzembe wa mazoezi leo simba yangu wanamtaka tena ...
 
Ajibu alipokuwa simba haijawahi kuchukua kombe lolote, amekuja yanga tumekosa kombe lolote, bora arudi zake simba huku yanga alikuwa anatuwekea mkosi wa kukosa makombe
 
Mkuu ukute hata hujui klabu ya simba inaendeshwaje au wananunuaje wachezaje lakini unakua kimbelembele kupayuka mara tununur nan mara tuacje nan utafikiri hela za usajili unatoawewe.
Hapo ulipo ukute life lako linakushinda lakini unataka umpangie Ajibu life lake, really?
Mind your business bro.
Hahaa acha kupanic...life is easy usije kufa na presha bure
 
Binafsi namtakia kila lakheri katika timu yoyote akayosajiliwa sasa
 
Wanaelekea huko ndugu, hata mbuyu ulianza kama mchicha, malengo makubwa ya simba kubadili mfumo ni ili kufikia huko waliko hao mazembe na timu nyingne kubwa africa, mpira ni malengo , maendeleo pia ni malengo !!! After 3 au 4 years ndio utakuja ona nini mana ya smba kutaka kuwa level moja na hizo klabu kubwa
TP Mazembe wana Ndege wana uwanja imeshinda makombe Africa,huwezi kusema Simba iko level ya Mazembe
 
Yaani hapo utakesha kumpa elimu, !! Haelewi kabsa hahahaha
 
Katumia neno inaelekea that means ina ndoto ya kuwa kama hao giants wa africa!! Khaaa hahaha
Ndugu yangu Simba haijawahi kuchukua kombe lolote Africa na wala haina miundombnu na thamani kama hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…