adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Ajib alisajiliwa na simba muda mrefu nadhani toka april au march alipewa hela (kiasi sijui) na gari HarrierHapa usiwasingizie mazembe
Huyu dogo fundi ajibu ni kipenzi cha mo
Kama zengwe limetengenezwa na simba
Moo kafika dau kubwa kamshawishi dogo
Ikabidi aachane na mazembe kwa kisingizio
Cha kushindwa kukubaliana maslahi binafsi na mazembe. na Mimi sioni ajabu hata alivyokaa
Kama ni level sasa ivi simba inakimbilia kuwa leval ya timu kubwa kama mazembe
Na ndomana sasa hivi mchezaji atayetakwa
Na simba ni ngumu kuchomoa awe wa ndani ama wa nje.
Mimi namkaribisha kabisa kwa mikono miwili. cc Shadeeya
Hili la TP limekuja tu juzi yeye hakuwa na jinsi huwezi kumlaumu sana. #