Kusema kweli mmekua ila level za mazembe mkuu,mbali sana,
Hivi mnaweza kugombania mchezaji mmoja na Tp alaf aje kwenu agome kwenda kwa mazembe,bado sana ila atleast mna uelekeo mzuri
Rumours tu mkuu ajibu uhakika mazembe
Amesema inaelekea level hizo. Hajasema wapo level sawaTP Mazembe wana Ndege wana uwanja imeshinda makombe Africa,huwezi kusema Simba iko level ya Mazembe
Hata kuelekea huko bado hakuna lolote walilonalo hata Mo hiyo Bil 20 hajalipa wanaelekea kwa vigezo vipiAmesema inaelekea level hizo. Hajasema wapo level sawa
Mkuu, unamaanisha tp mazembe ikiweka dau kwa mchezaji anayecheza esperence na simba akaweka dau lake , huyo mchezaji anaweza kuikacha tp mazembe ?Hapa usiwasingizie mazembe
Huyu dogo fundi ajibu ni kipenzi cha mo
Kama zengwe limetengenezwa na simba
Moo kafika dau kubwa kamshawishi dogo
Ikabidi aachane na mazembe kwa kisingizio
Cha kushindwa kukubaliana maslahi binafsi na mazembe. na Mimi sioni ajabu hata alivyokaa
Kama ni level sasa ivi simba inakimbilia kuwa leval ya timu kubwa kama mazembe
Na ndomana sasa hivi mchezaji atayetakwa
Na simba ni ngumu kuchomoa awe wa ndani ama wa nje.
Mimi namkaribisha kabisa kwa mikono miwili. cc Shadeeya
Mnaota? Kwa kutegemea waswahili kama kina Haji hamfiki huko kamwe! Mo ana malengo mazuri ila atakwamishwa na wapiga dili wanaomzunguka!Wanaelekea huko ndugu, hata mbuyu ulianza kama mchicha, malengo makubwa ya simba kubadili mfumo ni ili kufikia huko waliko hao mazembe na timu nyingne kubwa africa, mpira ni malengo , maendeleo pia ni malengo !!! After 3 au 4 years ndio utakuja ona nini mana ya smba kutaka kuwa level moja na hizo klabu kubwa
Mwenye mkosi ni Yanga sio AjibuAjibu alipokuwa simba haijawahi kuchukua kombe lolote, amekuja yanga tumekosa kombe lolote, bora arudi zake simba huku yanga alikuwa anatuwekea mkosi wa kukosa makombe
Hapa usiwasingizie mazembe
Huyu dogo fundi ajibu ni kipenzi cha mo
Kama zengwe limetengenezwa na simba
Moo kafika dau kubwa kamshawishi dogo
Ikabidi aachane na mazembe kwa kisingizio
Cha kushindwa kukubaliana maslahi binafsi na mazembe. na Mimi sioni ajabu hata alivyokaa
Kama ni level sasa ivi simba inakimbilia kuwa leval ya timu kubwa kama mazembe
Na ndomana sasa hivi mchezaji atayetakwa
Na simba ni ngumu kuchomoa awe wa ndani ama wa nje.
Mimi namkaribisha kabisa kwa mikono miwili. cc Shadeeya
HahahahahahaMkuu ukute hata hujui klabu ya simba inaendeshwaje au wananunuaje wachezaje lakini unakua kimbelembele kupayuka mara tununur nan mara tuacje nan utafikiri hela za usajili unatoawewe.
Hapo ulipo ukute life lako linakushinda lakini unataka umpangie Ajibu life lake, really?
Mind your business bro.
Wameshamchukua jana Mkuu, tunaomba utimize ahadi kwani ahadi ni deni!Siku Simba wakimchukua Kakolanya nitaenda kukesha kanisani nikimshikuru Mungu
HahaasHivi Ajibu akituambia kachezeni nyie. . Tutamjibu nini?