kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
Tutafika mkuu , kila kitu kina hatua, baada ya miaka kadhaa mbele tutakuwa the same
Kusema kweli mmekua ila level za mazembe mkuu,mbali sana,
Hivi mnaweza kugombania mchezaji mmoja na Tp alaf aje kwenu agome kwenda kwa mazembe,bado sana ila atleast mna uelekeo mzuri