Kumekuwa Na Mijadala Mingi Sana Inayojaribu Kuzungumzia Maisha Binafsi Ya Freeman A. Mbowe, Kubwa Ni Kuwa Amekuwa Akidaiwa Kumsaliti Mke Wake Aliyezaa Naye{lilian} Na Ikajengwa Hoja Kuwa Kama Anamsaliti Mke Wa Ndoa Tena Aliyemzalia Watoto Basi Hafai Kuwa Kiongozi.. Ninachokifahamu Ni Kuwa Mbowe Na Lilian Ambaye Ni Mtoto Wa Mzee Mtei Waliachana Rasmi Kama Mke Na Mume Mwaka 2008 Kwasababu Ambazo Wenyewe Ndio Wanazijua, Baada Ya Hapo Mbowe Amekuwa Na Uhusiano Usio Na Usiri Na Joyce Mukya. MADAI YA KUITELEKEZA FAMILIA.
Watoto watatu kati ya wanne wa Mbowe Wanaishi Nje Ya Afrika Wakisoma Na Wengine Kufanya Kazi Kwa Msaada Wa Freeman Mbowe, Lilian{ex Wife} Ni Mfanyabiashara Mkubwa Na Mpaka Sasa Wanashirikiana Na Mbowe Kwenye Baadhi Ya Biashara, Sijajua Wakosoaji Wa Mbowe Wanaposema Familia Na Mke Wametelekezwa Wanakuwa Na Maana Ipi.. Zaidi Ya Yote Muasisi Wa Chadema Mzee Mtei Ni Baba Wa Lilian, Tujiulize Kama Mbowe Angekuwa Amemsaliti Lilian Na Kutelekeza Watoto Wake Mzee Mtei Angekuwa Anamuunga Mkono Mbowe??????