Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

mbona mr fupi na mkewe walikuwa wanaishi geresha tu. ila kila mtu alikuwa kivyake?
 
Teh teh, mambo binafsi, je zitto naye vipi? Vipi jk ameacha wangapi? Kweli sihasa!

NA WEWE unatumia simu mwaka mzima kwamba una lkes 300 na...wewe 0?yaani unatia hasirA! TOA LIKES WEWE HATA KAMA SI LAZIMA IVI WENZIO WANAOKUPA KUMBE wanajipendekeza?UTASIKIA ...........NATUMIA SIMU SIKU ZOTE (Bana pua unapotamka)
 
Hivi Wakristo wanaruhusiwa kuachana kwa sababu zipi?
 
Hivi Wakristo wanaruhusiwa kuachana kwa sababu zipi?

Hakuna aliye ruhusiwa kuachana bali kwa mioyo migumu ya binadamu hati ya talaka na iandikwe.kuachana ni kitu cha kawaida ikiwa maisha ayajaenda kama wana ndoa walivyo tarajia.kuliko kuishi katika mwamvuli wa ndoa huku ndoa haswaaaa aipo katia yenu bora kuachana .
 
Kinacho nishangaza mmojaa alikuwa kiongozi wa dini, mungine Mcheza Disco, lkn tabia zao zinafanana!!!yan michezo hawajamaliza!!!wanakula Bata hata umri ule.

Mchunguze Mbowe sikio la kushoto ametoboa, alikuwa anavaa hereni
 
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!

Halafu tukiwaambia ni Saccoss mapovu yanawatoka!!
 
mbowe hawez kuongoza nch bora dr slaa!

Wote hawawezi kama kuwaongoza wake zao tu walishindwa na kuachana itakua nchi mkuu? Wote wanakaa na mahawara sasa hivi na tena padri ndio noma katupa BIBILIA anakula Mke wa mtu taratiiiiiibu!!
 
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!

Mtoto na mkwe wa ndesamburo ni nani na nani hao?
 
Back
Top Bottom