Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ya JK na mtoto wa zakia meghji hamsemi poor ccm
umelipwa shilingi ngapi?
umelipwa shilingi ngapi?
kuna ishu ya gridi ya taifa hapa
Kwahiyo CDM Mwenyekiti wake na Katibu wake Ndoa zimewashinda???wanaishi na Maawala!!!
Teh teh, mambo binafsi, je zitto naye vipi? Vipi jk ameacha wangapi? Kweli sihasa!
Hivi Wakristo wanaruhusiwa kuachana kwa sababu zipi?
umelipwa shilingi ngapi?
Kinacho nishangaza mmojaa alikuwa kiongozi wa dini, mungine Mcheza Disco, lkn tabia zao zinafanana!!!yan michezo hawajamaliza!!!wanakula Bata hata umri ule.
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!
mbowe hawez kuongoza nch bora dr slaa!
Hahahahaha hatari sana!Mchunguze Mbowe sikio la kushoto ametoboa, alikuwa anavaa hereni