Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

Kinacho nishangaza mmojaa alikuwa kiongozi wa dini, mungine Mcheza Disco, lkn tabia zao zinafanana!!!yan michezo hawajamaliza!!!wanakula Bata hata umri ule.

ha ha ha .you have made my day.good luck
 
Hakuna kitu ambacho hakina manufaa kama kupoteza muda kujadili personal issue wakati kuna mambo mengi ya taifa ya kujadili.
 

Kwa nini Mbowe hasimami na kusema haya?

Kutojibu kunafanya pawepo na ombwe la habari, ombwe hili linaruhusu chochote kuweza kukubalika. Kwa mfano, wengine wanaamini Mbowe yupo katika ndoa na hapo hapo ana nyumba ndogo inayomfanya asihudumie mke wake wa ndoa.

Hata kama ni kwa kusema haya ni maisha yake binafsi tu, atakuwa ka address swali.

Hajafanya hivyo.

Hata wengine ambao hatujali sana the so called "personal issues" tunaona zaidi ya personal issue, hapa kuna tatizo lingine.

Tatizo la kiongozi asiyejibu tuhuma.

Ufaransa rais wao ana scandal ya kuwa na bibi juu ya bibi, lakini angalau yeye kasema hii ni invasion of his privacy.

Tunajua kwamba rais wa Ufaransa kaingiliwa personal space yake. Kwa mujibu wa fikra zake.

Hajapuuza tuhuma na kuziacha bila maelezo, kazijibu kwa kudai faragha yake.

Mbowe hata kudai faragha hajadai!
 
Lowassa atakuwa na umri gani muda huo?
 
Kama una ubavu jadili maisha ya mh JK hapa maana ndie tuliyempigia kura. Mbowe wa nini kwa sasa? Hajachukua nchi.
 
Kweli maccm yanatumia makalio kufikili badalaya ya kichwa.
Mafisadi yote ya maccm ni wawekezaji wazuri ktk mapaja ya wanawake.na hili mkikataa,sitashangaa kwani ni laana toka ktk viungo vya uzazi vya mama zenu. Mambo binafsi ya mbowe leo imekuwa ajenda kuu kwenu!
Ebu muulize mtakatifu kapuya,kalamagi,chenge,na unaowajua wewe.Mbona hamjadili ya kwao?
Mbowe kuwa dj,au kuwa na wake kama mswati sisi haituhusu na sio ilan au ahadi za cdm labda ccm. Kwamba uchumi wa nchi ni duni,kutapakaa kwa rushwa,bidhaa fake,ajira hakuna,miundombinu mibovu,mfumuko wa bei juu,matokeo mabaya ya elimu eti ni kwa sbabu ya mbowe?. Kwanini kam ccm tusijadili hayo?
 
Ni aibu sana kwa viongozi wanaojipambanua kuwa wanataka wapewe nchi, lakini uongozi ngazi ya familia wamefeli.

Ukimuuliza babako katembea na wangapi kabla ya mamako waweza kumkana!! Na sintashangaa kama wewe mtoto wa nje.
Wengi tumetawaliwa na maisha ya uzinzi.sample wewe mwenyewe.kataa sasa.....
 
wewe ndio umeharibu kabisa na tena umempaka matope.
 
Huyajui maisha binafsi ya mbowe wewe kuku, habari yako yenyewe haieleweki.
Unapoandika kitu unatakiwa uwe na data za kutosha.

Ninachofahamu mimi mbowe ni kiongozi makini anayeongoza taasisi makini inayopigania maslahi ya watanzania na kiongozi jasiri na mzalendo wa kweli wa hili taifa.
 
Vipi kuhusu maisha ya JK na familia yaksijaona humu jamvini wayu wakijadili kuhusu rasmu ya pili ya katiba ni vurugu tupu
 
maisha ya mbowe yanatuhusu sana kwa sababu ni kiongozi.kama amesaliti mke na watoto wake, si atatusaliti watanzania,mbowe na slaa hawafai kuwa viongozi
 
basi na kapuya au mwigulu sio maaskofu au manabii...naona mmeona kua cdm ndo kuna makanjanja mengi...mmeshikwa pabaya...cdm kwishney...finito,,,
 
Ni aibu sana kwa viongozi wanaojipambanua kuwa wanataka wapewe nchi, lakini uongozi ngazi ya familia wamefeli.

kama maisha binafsi ya ndoa defines your political and leadershjp capability then let's start with winnie vs mandela,clinton vs monica lewinsky and better yet jakaya na msururu wa vimada na watoto wa nje..
 
basi na kapuya au mwigulu sio maaskofu au manabii...naona mmeona kua cdm ndo kuna makanjanja mengi...mmeshikwa pabaya...cdm kwishney...finito,,,

kama maisha binafsi ya ndoa
defines your political and
leadershjp capability then let's
start with winnie vs
mandela,clinton vs monica
lewinsky and better yet jakaya na
msururu wa vimada na watoto wa nje
 
kama maisha binafsi ya ndoa defines your political and leadershjp capability then let's start with winnie vs mandela,clinton vs monica lewinsky and better yet jakaya na msururu wa vimada na watoto wa nje..

Una ushahidi? au ni muendelezo wa siasa chafu za CHADEMA?
 
basi na kapuya au mwigulu sio maaskofu au manabii...naona mmeona kua cdm ndo kuna makanjanja mengi...mmeshikwa pabaya...cdm kwishney...finito,,,
Tungeliweza kumwangalia mtu kama JK kwa miwani hiyo du! Hangekuwa raisi kabisa! Lakini maisha ya binafsi ni tofauti na maisha ya kisiasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…