Ninachokiona CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye ushawishi na nguvu baada ya uchaguzi mkuu

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Nimetafakari hali ya kisiasa nchi na kuona kuwa Chadema itaendelea kuwa na ushawishi na nguvu kuliko vyama vingine pamoja na kutoshiriki uchaguzi au kushindwa kuuzuia kwa nguvuza dola kwa sababu zifuatazo:

1. Iwapo uchaguzi mkuu utakuwa na uchafuzi na CCM kupita kwa mizengwe kwa asilimia 90 wananchi wataendelea kukereka mno na kubaki na hoja za chadema moyoni.

2. Chadema wataendeleza hoja zao na kuungwa mkono na wananchi hadi marekebisho ya katiba yamefanyika

3. Chadema wanachokifanya ni long term plan ya kuhakikisha mabadiliko ya katiba na sheria zake yanatokea. CCM walifahamu hilo huko mbele kuna shida kuendelea na siasa za ghiliba. Nyerere alikuwa mwerevu wa kusoma upepo wa mabadiliko.
 
file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
 
Kituo cha polisi stakishari kunajengwa jengo jipya la andaki kwa ajili ya kuwaficha watu na kutesa watu ...msije sema sikuwaambia
Shimo na andaki linalochimbwa kwa nia au dhamira ovu litawafukia wenyewe.
 
Nimetafakari hali ya kisiasa nchi na kuona kuwa Chadema itaendelea kuwa na ushawishi na nguvu kuliko vyama vingine pamoja na kutoshiriki uchaguzi au kushindwa kuuzuia kwa nguvuza dola kwa sababu zifuatazo:

1. Iwapo uchaguzi mkuu utakuwa na uchafuzi na CCM kupita kwa mizengwe kwa asilimia 90 wananchi wataendelea kukereka mno na kubaki na hoja za chadema moyoni.

2. Chadema wataendeleza hoja zao na kuungwa mkono na wananchi hadi marekebisho ya katiba yamefanyika

3. Chadema wanachokifanya ni long term plan ya kuhakikisha mabadiliko ya katiba na sheria zake yanatokea. CCM walifahamu hilo huko mbele kuna shida kuendelea na siasa za ghiliba. Nyerere alikuwa mwerevu wa kusoma upepo wa mabadiliko.
Hoja yako ni nzuri ila tunataka Chadema iunde serikali Kwa kupata wingi wa kura ambazo ni nyingi kutokana na mwitikio mkubwa sana wa wananchi kuiunga mkono chadema. Na ndio maana wananchi tunataka reforms kwenye Sheria za uchaguzi tuweze kuikabidhi nchi kwa Chadema. Na Chadema wakija kuzingua tutaweka chama lingine pia. Hata ccm wakibadilika na kutuongoza kwa misingi ya haki tutawarudisha tena kutuongoza
 
Back
Top Bottom