Ninachokiona kwa Wanaowania Ubunge wa EALA sasa ni ushindani na madoido ya kuongea Kiingereza tu, vichwani hakuna kitu

Wakenya lazima watuone mazuzu tu....hasa kwa hiki kiingereza cha kuungaunga. Huwezi kujenga hoja yenye mantiki kama lugha inakupiga ugoko.
 
Lugha hasina uhusiano na uelewa au akili

Malawi hapo watu kibao wanaongea kingereza kilichonyooka na hawajawahi kanyaga hata darasa.la kwanza!!

Uingereza kwenyewe elimu sio lazima mtu ana uhuru wa kusoma au kutosoma wKo kibao hawajui.kusoma wala kuandika na wanaongea kingereza kizuri tu
 
Unaanzaje kujenga hoja kwa lugha ambayo inakupiga chenga, utaonekana kituko.....labda na kizaramu kinaruhusiwa huko EALA.
 
Shida kubwa ni elimu, mtu anasoma kwa kukariri au anasoma lengo kubwa likiwa ni kupata cheti tu na sio kupata mabadiliko kichwani mwake ambayo yatasaidia kubadili mazingira na jamii yake.

Mwisho wa siku ndiyo haya mnayoyaona leo.
 
Back
Top Bottom