Mkuu kibonde ureno kafanya kweliOK.hebu wewe weka sbb zako kudhihirisha huo ukibonde wa france maana mie nimejaribu weka sababu zangu
Maombi yako yamejibiwa na ameshindaNatamani Ureno ishinde.......
Naa kwel kabati limeangushwaUreno kushinda ni sawa na mende kudondosha kabati
Mkuu ulibet?Portugal 1 France 0.
Mkuu salama LakiniPortugal 1 France 0.
Amen nimefurahi sana we acha tu.......Maombi yako yamejibiwa na ameshinda
PoleFrance wakilikosa kombe hili yatakuwa ni maajabu mengine ya dunia sbb uwanja wao,mashabiki wao,kila kitu kinachotumiwa na ureno chao! Halafu iweje tena! Hakuna cha ronaldo wala nini.ureno watakalishwa bila kutaka! Natabiri kuwa fainali isiyovutia.mchezo utakuwa wa upande mmoja tu
PoleAujourd'hui est Aujourd'hui.
Team France.
PoleSababu ulizoweka hazina mashiko.
Ureno atapigwa sababu ni kibonde kwa France ya sasa.
Allez les Bleus.
Pole zumbukukuTatizo ureno timu yao haipo sawa kwa sasa natabiri watakufa
Pole nyang'auUreno kushinda ni sawa na mende kudondosha kabati
Sana tu mkuu hapa nasubiri njuruku tu!.Mkuu ulibet?
Sana tu mkuu hapa nasubiri njuruku tu!.
Wakati mwengine ni kubahatisha tu maana kwa game ya jana ukicheki zile head to head ni lazima umpe France.Hivi ukitakata kuipa timu ushindi, unaangalia vigezo gani kwa haraka haraka? Head to head au msimamo?
Kwani France hawakufanya jitihada?.Bahati? Vipi kuhusu juhudi?
The Purpose of Football As the Laws state: ‘The team scoring the greater number of goals during a match is the winner. If both teams score an equal number of goals, or if no goals are scored, the match is drawn’ Clearly, the purpose of the game is to score goals, and it is obviously just as important to avoid conceding goals.Wakati mwengine ni kubahatisha tu maana kwa game ya jana ukicheki zile head to head ni lazima umpe France.
Kwangu jana nilihisi Ureno wana bahati na mashindano haya kutokana na walivyopenya mpaka fainali.
Naona ushajipatia ajabu la nane la dunia, mpira haupo hivyo, mpira si history but science.France wakilikosa kombe hili yatakuwa ni maajabu mengine ya dunia sbb uwanja wao,mashabiki wao,kila kitu kinachotumiwa na ureno chao! Halafu iweje tena! Hakuna cha ronaldo wala nini.ureno watakalishwa bila kutaka! Natabiri kuwa fainali isiyovutia.mchezo utakuwa wa upande mmoja tu