Ninachokiona kwenye mechi kati ya Ufaransa na Ureno

Ninachokiona kwenye mechi kati ya Ufaransa na Ureno

France wakilikosa kombe hili yatakuwa ni maajabu mengine ya dunia sbb uwanja wao,mashabiki wao,kila kitu kinachotumiwa na ureno chao! Halafu iweje tena! Hakuna cha ronaldo wala nini.ureno watakalishwa bila kutaka! Natabiri kuwa fainali isiyovutia.mchezo utakuwa wa upande mmoja tu
Pole
 
Hivi ukitakata kuipa timu ushindi, unaangalia vigezo gani kwa haraka haraka? Head to head au msimamo?
Wakati mwengine ni kubahatisha tu maana kwa game ya jana ukicheki zile head to head ni lazima umpe France.
Kwangu jana nilihisi Ureno wana bahati na mashindano haya kutokana na walivyopenya mpaka fainali.
 
The Purpose of Football As the Laws state: ‘The team scoring the greater number of goals during a match is the winner. If both teams score an equal number of goals, or if no goals are scored, the match is drawn’ Clearly, the purpose of the game is to score goals, and it is obviously just as important to avoid conceding goals.
 
Kwa mpira wa Jana Ufaransa kafungwa kihalali Ureno alistahili kushinda.Ufaransa anashambulia tu kwa nguvu bila target
 
Jana Ureno walikuwa wanachecha kwa malengo ya kupata goli na kushinda, ufaransa walikuwa wanachezea mpira tu bila malengo. Lengo kuu la mpira ni kufunga goli hayo mengine yote ni mbwembwe tu.
 
France wakilikosa kombe hili yatakuwa ni maajabu mengine ya dunia sbb uwanja wao,mashabiki wao,kila kitu kinachotumiwa na ureno chao! Halafu iweje tena! Hakuna cha ronaldo wala nini.ureno watakalishwa bila kutaka! Natabiri kuwa fainali isiyovutia.mchezo utakuwa wa upande mmoja tu
Naona ushajipatia ajabu la nane la dunia, mpira haupo hivyo, mpira si history but science.
 
Back
Top Bottom