Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
 
Kwa dadika alizo ingia ni vigumu kumuasess

Anyway hamna haja yakutafuta mchawi hapa ni kupanga kwenda kupindua Meza Cairo

All the best mnyama
 
😂😂😂 sasa baleke daily mna sema he was wasteful. he left then what?
 
Kibiriti ngoma umepigaje hapooooooooo!
20240309_214301.jpg
 
Jamani tujifunze kushukuru kwa yote
Ahsante sana Mama Samia
 
Back
Top Bottom