1. Ni mwadilifu-maisha yake ni ya kawaida.
2. Hana tuhuma za mali isiyoelezeka.
3. Hajawahi kutumika/kurubuniwa na Serikali.
4. Ni mtu jasiri.
5. Amesaidia kufichua mchwa wa uchumi wa TZ.
6. Kwa miaka 15 ya Ubunge amedhihirisha uwezo wake kiuongozi. NA WEWE NI KAMA MIMI?
Yes...! pamoja...!
yes we can...! vote for dr slaa...!
vote for a new tanzania...! chagua mtu makini, epuka mafisadi...!
pamoja daima, tutafika, kulikomba taifa letu...!