Elections 2010 Ninachompendea Dr.Slaa.

Elections 2010 Ninachompendea Dr.Slaa.

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
1. Ni mwadilifu-maisha yake ni ya kawaida.
2. Hana tuhuma za mali isiyoelezeka.
3. Hajawahi kutumika/kurubuniwa na Serikali.
4. Ni mtu jasiri.
5. Amesaidia kufichua mchwa wa uchumi wa TZ.
6. Kwa miaka 15 ya Ubunge amedhihirisha uwezo wake kiuongozi.
NA WEWE NI KAMA MIMI?
 
pamoja sana,sijui kama watanzania tutaendeleza usemi kua nabii hakubaliki nyumbani au tuta ubadili mwaka huu
 
Yes...!
pamoja...!
yes we can...!
vote for dr slaa...!
vote for a new tanzania...!
chagua mtu makini, epuka mafisadi...!
pamoja daima, tutafika, kulikomba taifa letu...!
 
Tuko pamoja mkuu, hebu tujitokeze kupiga kura jpili tumtoe huyu nduli
 
Back
Top Bottom