Ninachoshindwa kuelewa ni kwamba Tanzania wanataka madereva wa Tanzania wasipimwe wanapoingia Kenya au hata wakiwa positive waingie?

Inaonekana wewe mchanga sana kwenye hii game

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tatizo letu - kila kitu tunaona ni game fulani Wakenya wanataka kutufunga bao la tobo! Ninachoona hapa sio game, ni ujinga tu tunafanya hatuna la maana!

Tumezoea kuwapiga makonzi wapinzania na sasa tunadhani kila mtu tuna uwezo wa kumpiga konzi.
 
Kwanini madereva wa Kenya waingie Tanzania kama kuna corona halafu wapeleke kwao ?hiyo ni siri za kiuchumi wao wanajificha nyuma ya corona
MONEY STOP NONSENSE
 
Wewe mpumbavu sana ,umeandika mavi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini madereva wa Kenya waingie Tanzania kama kuna corona halafu wapeleke kwao ?hiyo ni siri za kiuchumi wao wanajificha nyuma ya corona

MONEY STOP NONSENSE
Wanajiamini na kinga na tahadhari wanazochukua. Kwani umeambiwa kila mtu anaingia Tanzania atapata Corona? Italy ina Corona zaidi ya Kenya au Tanzania, lakini haina maana nikienda Italy leo lazima ntapata Corona, hasa nikijua nitachukua tahadhari.

Sasa kama hizo ndizo point mnazobishana na Wakenya kwa kweli wanatuona vihiyo sana!
 
Tupe sababu za kisayansi mmefanya nini hadi kufikia mkataa kuwa vipimo vya Kenya haviaminiki. Na haviaminiki kwa Watanzania pekee?
Hujangalia taarifa ya habari,kuna madereva wa Tanzania mpakani walikuwa wanasema wamepimwa kenya wana corona ,wamepimwa Tz hawana,na wamekaa hapo zaidi ya week .

MONEY STOP NONSENSE
 
Sasa kama wanajiamini na kinga kwani madereva wetu hawajiamini na kinga ?
MONEY STOP NONSENSE
 
Dah mkuu umeanzisha Uzi wa maana sana Ila majibu unayopata yanasikitisha...Yaani Watanzania wengi ni wapumbavu sana

Wanachofanya Kenya ndio kinachofanywa na na nchi karibia zote Duniani kwenye usafirishaji wa bidhaa kipindi hiki.. Tanzania tumeenda kinyume kabisa na dunia nzima, halafu tunawalaumu Wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujangalia taarifa ya habari,kuna madereva wa Tanzania mpakani walikuwa wanasema wamepimwa kenya wana corona ,wamepimwa Tz hawana,na wamekaa hapo zaidi ya week .

MONEY STOP NONSENSE
Sasa hilo ni jambo la kusawazisha kiungwana. Mmeulizwa na Generali Ulimwengu, ni lini mliagiza vipimo vinavyofaa baada ya kusema vile vya kwanza vilikuwa vibovu vinasema papai lina Corona? Sasa tuitajuaje kama vipimo vya Kenya au Tanzania ndio sahihi? Tumeshindwa kuasawazisha hili kistaarabu?

Na wanataka kulazimisha kuingia Kenya kwa kuwa vipimo vyenu mlivyopimia mapapai vinasema hawana tatizo wakati vya Kenya vinaonyesha wana tatizo?
 
Mkuu mbona hiyo ni simple logic, kama hutaki mi nifike kwako basi we usije kwangu
MONEY STOP NONSENSE
 
Ungefanya research kwanza kabla ya kuandika huu uzi ungekuwa umefanya la maana. Acha kudandia gari kwa mbele. Nenda horohoro ukaangalie hali ilivyo ujue undani wa hili swala.
Jibu kwanza. Mimi naona Tanzania tunatia aibu sasa. Mara Rwanda, mara Uganda, mara Zambia, mara Kenya. Hivi tuna akili gani sisi? KIla jirani tunagombana nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama wanajiamini na kinga kwani madereva wetu hawajiamini na kinga ?

MONEY STOP NONSENSE
Hivi unaelewa unachokisema lakini? Kwamba wawaruhusu madereva wenu waliopimwa na kuonekana wako positive kwa kuamini kuwa watachukua tahadhari kutowaambkiza Wakenya?

Kenya wao wamesema madereva wa Tanzania wapimwe kabla ya kuingia Kenya. Kama hawana Corona wataingia. Kama wanayo watazuiliwa. Sasa tatizo liko wapi?
 
Uswizi na florida wanatumia utaratibu upi ?
MONEY STOP NONSENSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…