Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

Kila la Kheri National Al Ahly FC mechi yao ya mwisho ya CAFCL huko Kwao Weekend hii japo bado sijajua anacheza na nani.
Slogan ya BAKWATA ni "Jitambue, badilika, acha mazoea"
Kwa hakika CR Belouizdad wanaijua hii slogan.
 
Hiyo mechi kila mtu anatafuta nafasi ya kwanza ili acheze na Timu dhaifu za pili kama vile Simba na ndugu zake kwa hiyo mechi itakua na ushindani sana maana ukiwa wa pili unaweza kukutana na Petro au Mamelodi wakishinda na Mazembe shida yenu watu wengi wa Simba mpira hamjui kabisaa...
 
Kama sio kipigo alichotoa Yanga kwa ile timu ya Algeria, huu uzi ungekua na paragragh zaidi ya tano.

Siku mbili hizi anapost kwa wasiwasi sana.
Nacheka huku nikiwa mkononi mwa polisi wala rushwa [emoji22][emoji22][emoji22][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna mtu mwenye nuksi katika michezo kama ww.Kila unalotabiri linaenda kinyume.
 
Back
Top Bottom