Ninachowaza kufanya suala la Mo dewji...

Tanayzer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
3,010
Reaction score
7,360
Wakuu habarini za sahizi...

Nimekaa siku nzima nawaza suala la tajiri mfanya biashara na mmiliki wa Club ya Simba bwana Mo dewji ukiachilia mbali dau hilo la bilioni moja......

Wakuu Kwanzaa issue ya CCTV footage ya siku ya tukio familia ya Mo isihangaike nazo Kabisa.... Kwanzaa binafsi ningekuwa na timu ya ushindi ningeenda pale gym na kuchukua CCTV footage za siku 10 zilizopita zinazoonesha nje ya gym na barabara kuu karibu na gym.... Ukiunganisha na cctv za mtaa wote....

Pia ningechukua CCTV footage za mtaa anapoishi mo dewji pamoja na njia anazopenda kupita akielekea gym siku 10 zilizopita..... Nikiwa na wataalamu wa saikolojia ningezipitia zile video za siku 10 Kabla nikikagua kila gari linaloonekana katika kamera mmiliki wake na linaoatikana wapi then ningechuja magari yanayoonekana angalau mara 3 katika CCTV footage hizo za siku 10.....

Kuchunguza haya maeneo kwa siku 10 lazima ningejua wahusika walivyomfuatilia Mo kwa siku kadhaa (kumbuka hawawezi kumfata kichwa kichwa kabla hawajamfuatilia walau siku 3)

Ningechukua namba za zile gari kimya mpaka TRA ningekagua nyaraka za gari ninazozitilia shaka na endapo wataninyima ushirikiano ningemtafuta hacker anaejielewa kutoka hata south anachukua taarifa tunazipitia vizuri.....

Banda ya kupata taarifa za TRA ningegundua wapi gari zinapatikana na namba za simu ningezipata....moja kwa moja ningeanza kuzifuatilia gari husika kwa siku 2 kila 1 lazima ningepata pa kuanzia....

Banda ya haha lazima ningehitaji msaada wa wazee walio vizuri katika martial arts especial ninjas ningetoa taarifa kwa familiar ya Mo especial baby yake direct anipe ushirikiano wa kufanya ambush na hao ninjas..mwisho wa siku tungevamia eneo husika na kumkomboa Mo.....baada ya hapo ninjas wanalipwa, hacker analipwa mimi naenda zangu sihitaji hata shs 100 sababu ya kujitolea na kujali utu....

Nawaza nje ya box tu
 
Dah
 
Achana na mambo ya MO DEWJ wewe nenda google search M-bet prefect 12 kisha weka prediction zako hapo uachane na umaskini
*hizo inxhu za moo waachie wakorea tuu hao jamaa kwenye upande wa upelelez wapo vzr nawakubar sana hasa North korea ni dunia hawa jamaa wanaweza waka hack computer zikasema mo yupo wapi ni DANGEROUS
 
Hapa akili ni nywele.
Hiyo perfect 12 inakupa bilioni 1???Kumpata MO NI ZAID YA TAKATAKA ZOTE HIZO
 
We chalii ulitekwa wapi man
 
Mkuu uwekezaji muhimu sana in terms of pesa ila ukipata hackers wa yale maeneo unapata data vizuri tu
Umewaza vyema sana mkuu, But utakua nani ww wakuruhusu upitie hzo CCTV footage za za maeneo hayo yanayosemekana "ya wakubwa" maana kila tukiulizia vip CCTV zinasemaje wao wanajibu hazionyeshi vizur oh mara nyingine hazifanyi kazi n.k
 
Mkuu perfect 12 hawawezi Filia hata robo ya thamani ya mo pia inawezekana nimekaa korea
 
Kabisa mkuu mimi natamani sana nipate vitendea kazi nikapambane
Hapa akili ni nywele.
Hiyo perfect 12 inakupa bilioni 1???Kumpata MO NI ZAID YA TAKATAKA ZOTE HIZO
 
Mkuu, hizi techniques unadhani polisi hawazijui? Upelelezi unasomewa sio wanafanya kwa kukisia tu. Bila shaka haya yamefanyika ma polisi pia ila watelaji nao wako advance, sio wajinga kama unavyodhani.
 
Naona b..1[emoji23][emoji23] imeamsha mpaka waliokuwa wamelala
 
Bilioni moja ila wale wazee wa tunguli bado wanakufa njaa, hapa ndio utajua huwa wanadanganya raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…