Ninachowaza kufanya suala la Mo dewji...

Ninachowaza kufanya suala la Mo dewji...

Juzi Wale makachelo wa Russia walikuja London wakamuwekea sumu yule Kachelo aliye asi kule kwao walikuja kwa mbinu kali kweli cctv hazikuwaona
Makachelo wa wa London wakaamua kutumia Setelihtg inaiwexo wakuonesha tangu wale jamaa wanatoka russia mpaka wanaweka sum nskuondoka wakuja usiku kesho yake wakaondoka lakini jamaa waliwapata Setelight inaonesha kila kitu
 
Kama wametoa dau bas wapo tayar kutoa ushirikiano

Mm ningepata vijana 5 tu wa kaz, MO tunaamka nae alfajir na swala
Nimpate IT (hacker uko n mbal sana)
Mcheza karate
Psychologist
Driver makn (kama wa fast and furious van diesel)
Team captain mm menyew MO
anapatkana ndan ya masaa 12
 
Yes watoe ruhusa kwa private detectives wafike eneo la tukio wachukue taarifa mbalimbali za cctv na zinginezo
 
Umeongelea kuhusu Gari tu na CCTV..
Je kama Wahusika walibadilisha magar mara kwa mara?,
Je kama waliokuwa wanafuatilia ratiba zake ni watu wengne na watekaj ni watu wengne?
Je kama Gari lililomteka siku hiyo walichongesha plate number ya uongo?,
Watekaji wa MO nadhan ni very proffessional, kuacha traits sio rahisi
 
Bado itakuwepo link kati ya waliokuwa wanafuatilia nyendo zake na hao waliomteka,CCTV footage zikipatina ni mwanzo mzuri. Shida ni kama wenye dhamana ya kufanya upelelezi wakiwa ndiyo watekaji wenyewe, hakuna kitachaendea hapo zaidi ya longo longo za kuuzuga uma.
 
Sidhan kama kutakuwa na Ushahid wowote.
nadhan waliokuwa wanafuatilia ratiba zake wameanza kumfuatilia pengine mwez mmzima nyuma, waliomteka pengne nao walishaenda eneo la tukio mwez mmzima nyuma na wakaona changamoto gan zilizoko na wazikabili vipi...
hiyo ya upelelez wakiwa ndio watekaj ni.dhana nyingne, sitak kuiongelea
 
Back
Top Bottom