Kibwana Mruguru
Senior Member
- Aug 8, 2018
- 102
- 74
Tatizo kuruhusiwa kuona hizo video sasaNgoja nitafute hiyo pesa tutagawana
Kwenye cctv footage hapo ndio tunapiga tick tack na tauloYes watoe ruhusa kwa private detectives wafike eneo la tukio wachukue taarifa mbalimbali za cctv na zinginezo
Bado itakuwepo link kati ya waliokuwa wanafuatilia nyendo zake na hao waliomteka,CCTV footage zikipatina ni mwanzo mzuri. Shida ni kama wenye dhamana ya kufanya upelelezi wakiwa ndiyo watekaji wenyewe, hakuna kitachaendea hapo zaidi ya longo longo za kuuzuga uma.Umeongelea kuhusu Gari tu na CCTV..
Je kama Wahusika walibadilisha magar mara kwa mara?,
Je kama waliokuwa wanafuatilia ratiba zake ni watu wengne na watekaj ni watu wengne?
Je kama Gari lililomteka siku hiyo walichongesha plate number ya uongo?,
Watekaji wa MO nadhan ni very proffessional, kuacha traits sio rahisi
Sidhan kama kutakuwa na Ushahid wowote.Bado itakuwepo link kati ya waliokuwa wanafuatilia nyendo zake na hao waliomteka,CCTV footage zikipatina ni mwanzo mzuri. Shida ni kama wenye dhamana ya kufanya upelelezi wakiwa ndiyo watekaji wenyewe, hakuna kitachaendea hapo zaidi ya longo longo za kuuzuga uma.