Ninadaiwa Tala, Branch, Tigo Nivushe, Nipige Tafu, M-Pawa, Songesha. Je, mimi ni nani?

Ninadaiwa Tala, Branch, Tigo Nivushe, Nipige Tafu, M-Pawa, Songesha. Je, mimi ni nani?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za Jumapili?

Katika maisha unapitia na changamoto kama hizo, nina mikopo japo sio mikubwa sana lakini inaniweka wasiwasi sana nisije nikaenda jela bure natafuta namna niwalipe madeni yao, lakini uchumi wa kati baba/mama kwangu ni shida sana; unasumbua sana mimi kwangu upo wa mwisho.

Niwatakie siku njema!?
 
Wewe ni mtanzania halisi wa uchumi wa kati, mbona hayo madeni hayatishi. Kuna jamaa ana punda zake mbili zimekwama zinasingizia COVID halafu mabosi wakubwa wanataka mrahaba wao
 
Mikwara ya TALA unaijua kweli wewe jamaa?? Hawa TALA hua wanasema tunakuona ulipolala! Lipa deni letu leo,LA sivyo tunakuja na mwenyekiti serikali za mitakaa kukukamata
Napigiwa sana simu na Vodacom kunipa vitisho mpaka nimeamua kubadirisha laini ninayo sahivi ya halotel
 
Mikwara ya TALA unaijua kweli wewe jamaa?? Hawa TALA hua wanasema tunakuona ulipolala! Lipa deni letu leo,LA sivyo tunakuja na mwenyekiti serikali za mitakaa kukukamata
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom