Hahahahahaha, kwamba hukopeshekiWengine hata hiyo mikopo hatupati khaaaah
Napigiwa sana simu na Vodacom kunipa vitisho mpaka nimeamua kubadirisha laini ninayo sahivi ya halotelMikwara ya TALA unaijua kweli wewe jamaa?? Hawa TALA hua wanasema tunakuona ulipolala! Lipa deni letu leo,LA sivyo tunakuja na mwenyekiti serikali za mitakaa kukukamata
[emoji3][emoji3][emoji3]Mikwara ya TALA unaijua kweli wewe jamaa?? Hawa TALA hua wanasema tunakuona ulipolala! Lipa deni letu leo,LA sivyo tunakuja na mwenyekiti serikali za mitakaa kukukamata