Ninadaiwa Tala, Branch, Tigo Nivushe, Nipige Tafu, M-Pawa, Songesha. Je, mimi ni nani?

Usiogope tuko wengi mkuu,tukienda jela tutakuwa tunafarijiana...
 
Hivi ukitaka kukopa tala unaingia unaenda wapi?..au ndo unazikuta kwenye mitandao ya simu?
 
Songesha nilikua nawalipa ila nikaja kustuka kumbe wananiongezea cha juu bila mimi kujua nilichofanya nilikopa elfu 38,000 nikawapotezea wana wizi wa kimfumo sana kama hupigi hesabu jua kuna namna wanakuongezea deni
 
Wewe ni punga sese
 
Sasa kumbe hata kwenye list ya wadaiwa sugu bodi ya mikopo haupo unaanza kulalamika kiasi hicho mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…