Ninadhani hilo somo au module aliyokuwa anafundisha Kaijage ifutwe huko UDOM ili kuepusha taharuki baadae

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,234
Reaction score
3,192
Kama kosa lake kubwa ni kufanya uchochezi kupitia hiyo module aliyokuwa anafundisha nadhani tutumie busara kuifutilia mbali ili kuepusha wahadhiri wengine kuingia mtegoni na kujikuta wanafanya "ugaidi" bila kujua. Hatuwezi kuwa na masomo yanayosababisha uchochezi vyuoni. Futilia mbali hizo module na masomo yote yenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Hata degrees zenye viashiria vya uchochezi zifutwe.

Ila huyu Kaijage naye aliwezaje kuingia kwenye tuhuma kubwa kama hizi? Mimi nimezoea nikisikia Gaidi napata picha ya mtu mwenye ndevu nyingi kabeba bunduki huku kavaa mabuti ya kijeshi na kanzu. Halafu majina mara nyingi ni ya dini ile. Gaidi kuitwa Kaijage haina mvuto.... hata magaidi OG watakuwa wanafanya tathmini na kukerwa fani yao kuvamiwa na mamluki.

Lakini siku hizi kuna jasusi la bamia huko Mbutu kwahiyo labda Kaijage ni gaidi la senene huko Karagwe..!! 🤔🤣 Cha muhimu tusubiri mahakama iamue. Ninamsihi DPP asije akasema hana nia ya kuendelea na kesi ili hukumu ya hii kesi itoke na uwe fundisho kwa magaidi mengine ya senene na bamia.
 
Kwanini unashindwa kuheshimu dini za watu
 
gaidi kwa akili zao ni mtu yeyote mwenye fikra huru na mtazamo chanya, ukiamua tu kutumia ubongo wako na kushughulisha akili yako basi tayari unakuwa gaidi
 
Kama kosa lake kubwa ni kufanya uchochezi kupitia hiyo module aliyokuwa anafundisha nadhani tutumie busara kuifutilia mbali ili kuepusha wahadhiri wengine kuingia mtegoni na kujikuta wanafanya "ugaidi" bila kujua. Hatuwezi kuwa na masomo yanayosababisha uchochezi vyuoni. Futilia mbali hizo module na masomo yote yenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Hata degrees zenye viashiria vya uchochezi zifutwe.

Ila huyu Kaijage naye aliwezaje kuingia kwenye tuhuma kubwa kama hizi? Mimi nimezoea nikisikia Gaidi napata picha ya mtu mwenye ndevu nyingi kabeba bunduki huku kavaa mabuti ya kijeshi na kanzu. Halafu majina mara nyingi ni ya dini ile. Gaidi kuitwa Kaijage haina mvuto.... hata magaidi OG watakuwa wanafanya tathmini na kukerwa fani yao kuvamiwa na mamluki.

Lakini siku hizi kuna jasusi la bamia huko Mbutu kwahiyo labda Kaijage ni gaidi la senene huko Karagwe..!! 🤔🤣 Cha muhimu tusubiri mahakama iamue. Ninamsihi DPP asije akasema hana nia ya kuendelea na kesi ili hukumu ya hii kesi itoke na uwe fundisho kwa magaidi mengine ya senene na bamia.
Unasema uliozoea kuona gaidi ni mwenye ndevu nyingi? Kwa mujibu wa media za magharibi na nchi za magharibi gaidi ni muislamu anaejitambua na kupigania haki zake. Lkn hivi sasa neno ugaidi limetanuka chadema wanaweza kukupa zaidi maana y ugaidi kwa sasa
 
Back
Top Bottom