Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Soma ushauri wa Preta (kuhusu mabobishi ya kiduanzi), tatizo wewe unaamini kwenye u-handsome wako, talent ulizo nazo na kazi nzuri, mie mwanaume lakini sidhani kama kinadada wanapenda vitu hivyo tu nadhani kuna vingine vya ziada ambavyo unatakiwa uwe navyo japokuwa kazi nzuri ni sehemu ya kufanya maisha yawe sustainable. Inaelekea ukimtokea mrembo unaingia kwa gear ya kujikweza na majivuno wakati ulitakiwa umtokee kama mtu wa kawaida ili in the course of relationship mdada mwenyewe ndio agundue hizo talent zako unless kama alikuwa anakufahamu in advance. Sasa wewe ukikutana nae tu unajifanya upo juu kuliko yeye, jenga tabia ya kumpa assignment bidada akusome kwa stahili hii ya kujiona wewe upo perfect ndio penye shida (nani alikuabia ukiwa handsome au una talent au una kazi nzuri ndio kibuti hupigwi?), wakati mwingine unapigwa kibuti kwa kuwa wanaogopa utawanyanyasa kwa kuwa una kiburi cha kazi nzuri, u-handsome na talent zako
Last edited by a moderator: