Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua personality ina mata sana kwenye haya mambo ya mahusiano ,ongea na marafiki karibu (wanaume) ambao wako open na wew na wanaweza kukuambia ukwel,?washirikishe kwenye hıli,watakusaidia sana.
The boss unatoaga sadaka?
Kwanza kabisa najaribu kumzoea kwa siku kadhaa kama wiki mbili mpaka mwezi, then natafuta mahali namtoa out then namwambia,
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books (nimesoma special school olev na advance na kumalizia udsm engineering)
5. Nimebahatika kazi nzuri (yenye kipato kizuri na usafiri)
Chakushangaza kila mtu ninayemtokea ananitolea nje tangu nipo sekondary, chuo mpaka hivi sasa nimemaliza, nimekua nikiishi na maumivu kwasababu ya kutoswa na wadada miaka yote,
Ninavyoandika ujumbe huu, leo mchana nimetoswa na dada mmoja niliyemtokea leo.
Hebu nisaidieni wadau, nini nakosea, na mim nina moyo pia jamani.
kwa hiyo bado upo bikra???
jollys morogoro store wapo wasio na complication....
aaahh wacha longolongo we sema unashilingi ngapi!!!!!
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books (nimesoma special school olev na advance na kumalizia udsm engineering)
5. Nimebahatika kazi nzuri (yenye kipato kizuri na usafiri)
Chakushangaza kila mtu ninayemtokea ananitolea nje tangu nipo sekondary, chuo mpaka hivi sasa nimemaliza, nimekua nikiishi na maumivu kwasababu ya kutoswa na wadada miaka yote,
Ninavyoandika ujumbe huu, leo mchana nimetoswa na dada mmoja niliyemtokea leo.
Hebu nisaidieni wadau, nini nakosea, na mim nina moyo pia jamani.
Hadithi kama ya maisha yangu ,najua kwa kiasi gani inauma kuwa katika hali hiyo. Maumivu , maumivu mpaka basi ,ukiwa jobless,hakuna mpenzi wa kukufariji au kufarijiana unaweza kutamani ungekuwa titled R.I.P ,lakini haya ni mapito tu kuna siku yataisha ingawa kwangu sioni dalili. Baada ya safari ya muda mrefu ya kusaka mapenzi yenye mafanikio kidogo ,nilimtongoza msichana ambaye kwa majibu yake mwanzo ni kama kakubali ila hajasema na nikajenga matumaini ya kuwa naye coz niliiona tafsiri halisi ya mapenzi ktk story zake,matendo na vitu vingi. Nilitumia kila tech. ya kutongoza after two yrs niliambulia kutoswa kwa kishindo,,kwa kishindo, J still like to talk with her kama rafki but she donk pick my phone call,nilichokipata hapo ni kupoteza kabisa ujasiri wa kutongoza,nahisi kachukua kila kitu kinachohusu mapenzi kutoka kwangu, baada ya hapo nikitongoza tu nazinguliwa saaana ,yaani hata sielewi nakosea wapi ? ,I m a loser in love affairs, i know how it feels to be in such state, It pains ,it pains a lot...
uhandsome wa mwanaume nini??