Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.


Pole sana kaka, pole sana, umeongea kwa uchungu sana mpaka naumia kaka..........pole sana, jaribu kurudisha kujiamini kwako, wasichana wako wengi wazuri, ni kumpata akufaae tu
 
I wish unipe tips za kujievaluate, nipo down.

NDG .YANGU WEWE UMESEMA MPENDWA ,SIJUI UKO MINISTRY GANI? NA SIJUI UMEFUNDISHWAJE, ILA ,SASA INAKUWAJE UNAWATONGOZA KINA DADA MITAANI??? KAMA KWELI WEWE UMEOKOKA SWALA LA KUMPATA MWENZI MBONA HIYO SIO NJIA SAHIHI, MPENDWA OMBA,OMBA,MWOMBE MUNGU WEWE UKIWA MWANAE YEYE HAJAWAHI SHINDWA ISAYA 40:28 - 29."je wewe hukujua,hukusikia yeye Mungu wa milele,Bwana,Muumba wa miisho ya dunia HAZIMII wala HACHOKI ,AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI, Huwapa nguvu wazimiao,humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.Mungu atakuongoza acha kutumia akili zako mwenyewe.
 
Siwezi kujua ushauri wangu Mwombe Mungu utampata ndugu yangu.
 
@excelllent mdogo wangu wa moyoni, swali gani hili?........................................BTW mzima wewe? miss you so much ma lito bro mpe hi Mbimbinho.

Jamani my dada miss you. Sorry was kinda busy hizi siku mbili hata humu ndani nilikuwa nakuja kuitika jina then nasema.
Hope weekend did you well.. Miss uuuuu!!
 

Je, unaweza kuhendsamisha???
Hili ndio tatizo. Vijana wa siku hizi mkiona mna vibebi fesi basi mnafikiri you can have whoever you like, hii dunia imebadilika ati.
I bet kwa maelezo yako, umepiga gepu kubwa kinoma 50Cent kwa uhendsam boi, lakini jamaa kakupiga gap kwa kuhendsamisha. So, jifunze how to handsomize then you'll never face hii kadhia ya kupigwa vya mbavu.
Nawasilisha hoja.
 
I wish unipe tips za kujievaluate, nipo down.

NDG .YANGU WEWE UMESEMA MPENDWA ,SIJUI UKO MINISTRY GANI? NA SIJUI UMEFUNDISHWAJE, ILA ,SASA INAKUWAJE UNAWATONGOZA KINA DADA MITAANI??? KAMA KWELI WEWE UMEOKOKA SWALA LA KUMPATA MWENZI MBONA HIYO SIO NJIA SAHIHI, MPENDWA OMBA,OMBA,MWOMBE MUNGU WEWE UKIWA MWANAE YEYE HAJAWAHI SHINDWA ISAYA 40:28 - 29."je wewe hukujua,hukusikia yeye Mungu wa milele,Bwana,Muumba wa miisho ya dunia HAZIMII wala HACHOKI ,AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI, Huwapa nguvu wazimiao,humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.
 

I UNDERSTAND EVERY THING your saying, hata hivyo sija watongoza wa dada wa mtaani, au cjajua unamaanisha nini ukisema wa mitaani, but najua kwamba nilitakiwa niombe, na kiuhalisia niliomba na nimekua nikiomba, unapopatwa na vitu kama hivi, kama binadamu kuna mazingira ya kukata tamaa/discourage na sometimes kuwa down, but nikwambie kitu, kuna upande wa mungu kufanya na kuna upande wangu kufanya ambao nahisi ndo nahitaji kuelimishwa,,, kuna elimu ahela na elimu dunia,
 

mdogo wangu lol basi mwambie mwenzio atahandsamishaje?
 
Jamani my dada miss you. Sorry was kinda busy hizi siku mbili hata humu ndani nilikuwa nakuja kuitika jina then nasema.
Hope weekend did you well.. Miss uuuuu!!

me too ma lvly lito bro. pole sana kwa ubize and so do i ila miye huwa naish kwa stail ya na bip jf na huku kwenye kazi
 
bro usihofu mwaego when the right time comes mambo yatajipa uki right click mambo yajipa yenyewe soma kitabu cha Mwanzo 2:20-25 tunaambiwa uwe unamkumbusha Mungu unaposali kupitia vifungu vya biblia utampata tu laazizi
 
mbona mambo ya kawaida halafu mwanaume akishaanza na mimi ni handsome huwa anachosha nani alikuambia uzuri unaliwa wengine wakiona wanashiba.
 
duh, mshukuru Mungu wamekuwa wakikutaa tangia zamani. Wangekuwa wanakukubali pengine ungeshakuwa kaburini sasa!! Wa kwako hatokukataa kwamwe!! Tulizana na nenda taratibu utampata wa kwako tu!! Dont panic, otherwise utampata kicheche kisha ukajuta maishani. Not every beautiful woman is a wife material!! In fact, wife materials are very scarce in this ruined world!!
 
bro usihofu mwaego when the right time comes mambo yatajipa uki right click mambo yajipa yenyewe soma kitabu cha Mwanzo 2:20-25 tunaambiwa uwe unamkumbusha Mungu unaposali kupitia vifungu vya biblia utampata tu laazizi

Thanx for you advice
 

Bado namshukuru mungu, Bado sijajikataa/kujidharau,,, naamini what your saying is true.
 
unajua personality ina mata sana kwenye haya mambo ya mahusiano ,ongea na marafiki karibu (wanaume) ambao wako open na wew na wanaweza kukuambia ukwel,?washirikishe kwenye hıli,watakusaidia sana.
 
Kwanza, fanya yafuatayo:


  1. Jiulize, unapowafuata akinadada, unajaribu hata kidogo kuwasikiliza kwa makini wao WANATAKA UWATENDEE NINI?
  2. Jiulize, unajitanguliza wewe mwenyewe mbele, kabla ya hao unaowafuata?

Pili, fanya yafuatayo:


  1. Jiulize, kama wewe ungekuwa mwanamke, ungependa mwanaume anayekufuata AKUFANYIE NINI?
  2. Jiulize, kama wewe ungekuwa mwanamke, ungependa mwanaume anayekufuata awe na sifa gani?

Kumbuka:


  1. Kuwa msomi mwenye akili
  2. Kuwa na kazi nzuri
  3. Kumiliki gari na nyumba nzuri

si jambo muhimu sana kwenye mapenzi.

Mapenzi hayataki papara, hayashurutishwi, hayajali pesa. Wako warembo waliowapenda wabeba zege na wavuta mikokoteni, tena warembo wa nguvu kabisa.

Usidhani kwamba kuwa umebarikiwa ndio kunakuweka wewe kwenye nafasi kubwa zaidi ya kumpata umtakaye, bila ya yeye kuwa ametimiziwa mahitaji yake.

Kifupi, BE HUMBLE.
 

Jamani kwani mtaani hawapo waliookoka? mpaka kanisani tu ambako nako wasanii wapo vilevile
 

Asante kwa ushauri mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…