Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.

unajua personality ina mata sana kwenye haya mambo ya mahusiano ,ongea na marafiki karibu (wanaume) ambao wako open na wew na wanaweza kukuambia ukwel,?washirikishe kwenye hıli,watakusaidia sana.

Asante nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Kwanza kabisa najaribu kumzoea kwa siku kadhaa kama wiki mbili mpaka mwezi, then natafuta mahali namtoa out then namwambia,

Halafu...?! zile mbwembwe zako za kiduanzi kuwa una hela na gari unaziachaga wapi? Jitambue wewe kwanza ndipo utapata kutambulika...
 

kwa hiyo bado upo bikra???
jollys morogoro store wapo wasio na complication....

aaahh wacha longolongo we sema unashilingi ngapi!!!!!
 
kwa hiyo bado upo bikra???
jollys morogoro store wapo wasio na complication....

aaahh wacha longolongo we sema unashilingi ngapi!!!!!

Kuna tofauti kubwa kati ya mapenzi na ngono,nadhani jamaa anazungumzia mapenzi na si ngono.
 

wakwako yupo mpendwa.tulia magotini pa Mungu na kaa kwenye maombi seriously then hutaumia tena.
 

Pole victim mwenzangu, nitaku PM tuweze kushare experience...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…