Ninae mchumba ,lakini nimemficha mpenzi mpya.

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Wadau kuna msichana nimempenda nikamtongoza ili tuwe wapenzi ,amenisumbua muda mrefu mpaka kuja kunikubalia sasa shida ni kwamba ameniuliza kama niko kwenye mahusiano kwa sasa nimemdanganya niko single wakati nina mchumba ambaye nategemea kumuoa mwezi wa nne mwaka huu.Je nimwambie ukweli kuwa ninae mchumba,kwa sababu mpka sasa nimemficha kuwa sina mchumba wala mpenzi.ukizingatia mchumba wangu yuko mbali kwa sasa na si mnajua tena GENYE ni shida nataka mtu wakuniliwaza wakati mchumba akiwa mbali.
 
1. Njia ya mwongo fupi.
2. Hakuna marefu yasiyo Na ncha
3. Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
 
Mkuu hembu kuwa mkweli usitake kutusumbua, umemfukuzia kipind chot hicho then ushauri wa kipi jibu unaloww hapo, mapenzi yakizidi kwake ndo utajua umwambia nn

¶ Sipendi kuingilia ndoa za watu mm
 
Mkuu hembu kuwa mkweli usitake kutusumbua, umemfukuzia kipind chot hicho then ushauri wa kipi jibu unaloww hapo, mapenzi yakizidi kwake ndo utajua umwambia nn

¶ Sipendi kuingilia ndoa za watu mm
Ndo kesho atakuja kunipa penzi,ila roho inaniuma kumdanganya ili niweze kumpata,naona bora nimwambie tu ukweli kuwa mama ninae mchumba wewe tuwe tu km wapenzi sasa hofu yangu atakubali au ataniona tu kma play boy?
 
acha kuchezea hisia za mtu... kama unaona huwezi kuwa nae mwache aende.
 
Una mchumba unaoa Aprili, huku umetongoza mwingine. Hayo si mapenzi ni tamaa!!

What do you really want out of that second relationship?
 
acha kuchezea hisia za mtu... kama unaona huwezi kuwa nae mwache aende.
 
Ndo kesho atakuja kunipa penzi,ila roho inaniuma kumdanganya ili niweze kumpata,naona bora nimwambie tu ukweli kuwa mama ninae mchumba wewe tuwe tu km wapenzi sasa hofu yangu atakubali au ataniona tu kma play boy?
Alafu wewe acha kufanya wana jf matahira,wewe mwenyewe ndiyo ume mtongoza na alikuwa anakukatalia sasa hv ame kukubali unaanza kusuasua mara atakuona playboy mara Ben10 kwan wakati una mtongoza ulikuwa huyaoni yote hayo kuwa wewe ni kibamia

Sasa nakushauri kama unataka kula huyo demu kula hutaki acha na ubaki njia kuu na mastori ya kitoto hatutaki...sawaaa...

Na ukimuacha ataenda kukutangaza wewe ni shoga au lah una kibamia maana haiwezekani usumbuke muda wote huo alafu leo mtoto kaku kubalia unakuja kuleta upuuzi hapa...

Angalizo naombeni hii ndiyo iwe komenti ya mwisho katika uzi huu....
 
Ndo kesho atakuja kunipa penzi,ila roho inaniuma kumdanganya ili niweze kumpata,naona bora nimwambie tu ukweli kuwa mama ninae mchumba wewe tuwe tu km wapenzi sasa hofu yangu atakubali au ataniona tu kma play boy?
Aisee!! Ukimwambia tu utakuwa umeuza ramani kwa adui,hautapata mchezo kabisa.Kama anakuja karibuni we piga kazi,kwani hayo ndio malipo ya usumbufu toka kwake kukupa jibu kipindi chote unamfukuzia.Ushauri wangu,fanyia kazi akili ya kichwa cha chini kwani ndicho kinachokuongoza kwa sasa!!
 
Hiv kaka. Una miaka mingapi? Mbona unachafua sifa za wanaume wenzio? Au ww mvulana?
Una mchumba unataka kuoa, alaf huku una ki chuchuba pembeni, then unauliza umwambie ukweli au lah. Wtf is that man?

Embu acha kumtesa mchumba wako ulie nae, unaelekea kwenye ndoa acha utoto.
 
Ninabet kuhusu huu uhusiano wako. Majibu yatakuwa 1/2 Yani home team win half time/ Away team win full time.
Huyu msichana mupya ukimgonga utaishia kumtia mimba na utaishia kumuoa na huyo mchumba ako ndio bas tena, uhusiano wenu utakufia hapo.
 
Sipendi uongo mm
Kwa nini umfiche kama lengo lako ni kumdanganya binti wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…