OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 605
Wadau kuna msichana nimempenda nikamtongoza ili tuwe wapenzi ,amenisumbua muda mrefu mpaka kuja kunikubalia sasa shida ni kwamba ameniuliza kama niko kwenye mahusiano kwa sasa nimemdanganya niko single wakati nina mchumba ambaye nategemea kumuoa mwezi wa nne mwaka huu.Je nimwambie ukweli kuwa ninae mchumba,kwa sababu mpka sasa nimemficha kuwa sina mchumba wala mpenzi.ukizingatia mchumba wangu yuko mbali kwa sasa na si mnajua tena GENYE ni shida nataka mtu wakuniliwaza wakati mchumba akiwa mbali.