Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Heshima kwenu wana bodi. Kwa miaka zaidi ya 15 nimekuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo and sikuwa najua kama ni vidonda. Miaka kama ya 2013 ndo nlipimwa kwa mara ya kwanza nikaambiwa nina vidonda. Toka muda huo nimekuwa natumia dawa hpyroly kit mara kadhaa vinapotea baada ya miezi sita hadi kumi vinarudi tena. Mwaka jana dada yangu ambaye naye amekuwa na vidonda miaka zaidi ya 30 alipewa dawa na rafiki yake akanywa na akapona. Kwa vile hiwa sipendi dawa za kienyeji alinishawishi sana anitengenezee na mimi nikakataa. Mwanzoni mwa mwaka huu vilinikamata mpaka kiuno na mgongo wote ukawa unauma balaaa, ikabidi nikubali kuzinywa hizo dawa.
Mwezi wa tano mwanzoni alitengeneza akanipatia lita moja ya hizo dawa nizinywe kwa siku 40. Zilikuwa zinatisha mwonekano ila nlikuwa nafumba macho nakunywa hivohivo. Nashukuru nlikunywa angalau diku kama 25 zikaisha. Akatengeneza tena robotatu lita nikaitunza sikutaka tena kwani kinyesi kinakuwa cheusi tiiiiiiii. Maana dawa ni nyeusi kama oil chafu ya bodaboda.
Toka mwezi wa sita mwishoni nimeshapima mara saba nakutwa negative. Nasubiri hadi mwaka huu ukiisha sina vidonda basi nitaanza kuiandaa hii dawa na kuiuza kwa laki 2 tu. Maana uandaaji wake ni mgumu kupita maelezo unahusisha kuchochea miti usiku na mchana kwa siku nne kwenye chungu kilicho sealed bila kuweka maji hadi iwe majivu.
Dawa ni tamu kwani asilimia 80 ni asali mbichi ya nyuki wadogo.
Dawa ilobakia nlimpa bire staff mwenzangu akainywa kwa siku 5 bahati mbya tukasafiri akaisahau and tukiwa huko akaniambia hajisikii kuumwa vidonda tena na alikuwa anakula tu vyakula vyote bila shida. Nimeanzisha group la whatsap kwa maandalizi hayo. Hivyo mwenye kutaka kujiunga nitafute kwa namba yangu 0782183441. Nitakuunganisha tuendelee kusubiri nikijiridhisha kama nimepona hakika. Nitakuwa na uhakika miezi nane ipite toka nimemaliza dose.