Ninafuga, Ninachinja na Kuuza Nguruwe

Mathayo 15:15 Hakuna kitu kinachomwingia mtu kimtiacho unajisi, lakini kile kimtokacho ndicho kimtiacho unajisi
 
Sijui kwanini mtu ukiona kitu hakikuhusu unajitahidi uharibu .



Kuna ulazima wewe usome kuhusu nguruwe na katazo la dini yako


Tuheshimu wengine ila nao watuheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya kuwa na kichwa ambacho kazi yake ni kufugia tu nywele. Mnyama wa kwanza kabisa kutajwa asiliwe ni NGAMIA, huyu nyie Walawi na Waislamu mnakula ila mkifika kwenye Sendema Munono mnajifanya kunukuu maandiko. Nafikiri walioambiwa wasile nguruwe hawali, sisi Wakristo, tunaoishi kwa Neema itokayo kwa Bwana wa Utakaso tunakula, tena kwa kuburudika sana
 
Me nahitaji piglets hasa ile mbegu ya umbo kubwa kwa ajili ya ufugaji.
 
ÑGURUWE SIZANI KAMA KUNA DINI INARUHUSU KULA NGURUWE HATA UKIACHANA NA DINI WATAALAMU WA FYA WANASEMA NGURUWE SI WAZURI KWA AFYA NA WANA VIRUSI VINGI VINAVYOMUATHIRI MWANADAMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilo 8,000...Ipo haja ya kufukuza majini.

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Kwa sisi
Kwa sisi wafugaji wapya huku mikoani, hii inatupa picha kwamba soko la kitoweo hiki bado ni changamoto kubwa hivyo bado tuna safari ndefu ya kujikwamua kupitia ufugaji huu wa nguruwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…