Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,084
Ubishi huu wa waislamu wamiaka mingi Sana, eti nguruwe hachinjwi.
Mnakazi Sana kufatilia yasiyowahusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubishi huu wa waislamu wamiaka mingi Sana, eti nguruwe hachinjwi.
Mathayo 15:15 Hakuna kitu kinachomwingia mtu kimtiacho unajisi, lakini kile kimtokacho ndicho kimtiacho unajisiMkuu unafanya biashara haramu sana
Kumbukumbu la torati 14:3 Usile kitu cho chote kichukizacho.
4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
5 kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;
6 na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
9 Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula;
10 na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
11 Mna ruhusa kula katika nyuni wote walio safi.
12 Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu;
13 na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;
14 na kila kunguru kwa aina zake;
15 na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;
16 na bundi, na mumbi, na bundi mkubwa;
17 na mwari, na nderi, na mnandi;
18 na membe, na koikoi, kwa aina zake; na hudihudi, na popo.
19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni
Sijui kwanini mtu ukiona kitu hakikuhusu unajitahidi uharibu .Mkuu unafanya biashara haramu sana

😂😂😂
KinaboGidbang maswali yote hayo wewe ni police?
Shida ya kuwa na kichwa ambacho kazi yake ni kufugia tu nywele. Mnyama wa kwanza kabisa kutajwa asiliwe ni NGAMIA, huyu nyie Walawi na Waislamu mnakula ila mkifika kwenye Sendema Munono mnajifanya kunukuu maandiko. Nafikiri walioambiwa wasile nguruwe hawali, sisi Wakristo, tunaoishi kwa Neema itokayo kwa Bwana wa Utakaso tunakula, tena kwa kuburudika sanaMkuu unafanya biashara haramu sana
Kumbukumbu la torati 14:3 Usile kitu cho chote kichukizacho.
4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
5 kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;
6 na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
9 Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula;
10 na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
11 Mna ruhusa kula katika nyuni wote walio safi.
12 Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu;
13 na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;
14 na kila kunguru kwa aina zake;
15 na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;
16 na bundi, na mumbi, na bundi mkubwa;
17 na mwari, na nderi, na mnandi;
18 na membe, na koikoi, kwa aina zake; na hudihudi, na popo.
19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni
Kwa sisi wafugaji wapya huku mikoani, hii inatupa picha kwamba soko la kitoweo hiki bado ni changamoto kubwa hivyo bado tuna safari ndefu ya kujikwamua kupitia ufugaji huu wa nguruwe.Habari. Nauza Nguruwe.
Madume yaliyo hasiwa Yapo.
Madume ya Mbegu Yapo.
Na Majike ya Mbegu Yapo.
Ukihitaji Nyama.
Kilo 1 ni Tshs 8,000/=
Kama unataka Nguruwe, au Kula Nyama ya Nguruwe.
Piga simu au tuma Message kupitia namba +255738141339 au +255714313711
Kama upo WhatsApp, tumia namba hii +255753708485
Group la WhatsApp la Wateja hili hapa Nsanya's Pork Park 🪂
Nipo Manzese, Mabwe Pande
Bunju B. Dar es Salaam
Instagram pia 👉🏿 Natumia jina @nyamayanguruwe
Na @dalaliwamagariused
Karibu Sana.
View attachment 1397986View attachment 1397987View attachment 1397988