Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

Nmb chachap iko poa sana, haina makato yoyote yaani unaweka bure unatoa bure(ATM) ila tu ni account ya kuweka hela ndogo
Kutoa kuna makato ....kuweka bure na hakuna monthly charges na maintenance fee kama akaunti nyingine .....hela kuweka mwisho million 5 kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…