kabla hujaendelea hakikisha kwanza diploma una gpa 2.7 and above,then a-level una hata principal moja.then ukifika kwenye stage inayohitaji NSR ID hapo unaweka registration namber yako ya chuo,kama itakuwa inagoma tena basi wasiliana nao,lakini kama ulijaribu mwezi uliopita ndo ikagoma jaribu tena mwezi huu coz walifanya mabadiliko fulani hasa kwa wale ambao hawakuwa na principal yeyote a-level,njia ya kuwasiliana nao jaribu kulike page yao facebook alafu unawa inbox,mimi walinijibu huko coz na mimi ilinisumbua sana,hatimaye baada ya kuona tangazo lao facebook nilipoenda tena kujaribu Mungu akasimama upande wangu ikakubali