Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
Habari zenu wakubwa na wadogo zangu....narudi tena kwa shida ileile ya wiki kadhaa nyuma...Nimeapply TCU Diploma Category nimefikia katika step inayosema NTA LEVEL F
6,FTC,TEACHERS,OTHERS hapo nikachagua NTALEVEL6 nikaweka no yang ya mtihan ikakataa no ya chuo ya registration iliyosajiliwa na nacte pia imekataa na nilipoenda OTHERS pia katika duration nikiiandka naambiwa cio sahihi plspls kwa wenye uzoefu au anaeelewa naomba anisaidie.