Ninahis ninatoa harufu mbaya plz nisaidieni

Ninahis ninatoa harufu mbaya plz nisaidieni

mjax

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
177
Reaction score
62
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26. Ninatatizo moja nahisi harufu inayoka puani mwangu au mwilini mwangu ni mbaya. Ipo hivi labda nimetoka nipo njian natembea basi nikipishana na mtu yoyote basi kama hajashika pua atatema mate au labda ikiwa nipo na marafiki zangu basi hata kama siongei yule aliyepo karibu yangu atakuwa anatema mate kila baada ya dakika kadhaa basi ikiwa siyo hivyo kama tumekaa basi atafanya juu chini asimame ilimradi asogee kutoka pale tulipo kaa. Hakuna ambaye amewahi kuniambia kama ninanuka na mimi pia sijawahi kuwauliza hali hiyo,ila ninaihisi hali hiyo,Please naombeni ushauri wenu wana jf doctor!
 
nawe mnene?
maana kuna watu wanasema wanawake wanene wanatoa harufu mbaya.
 
Pua ndo zinatoa harufu au mwili mzima? Fanya matizi na kunywa maji mengi.
 
Fanya uchunguzi kabla hisia hazijaua dhamira yako...Muulize ndg yako au mzazi wako kwani hawa watakuambia ukweli kwani hata wakificha still ni aibu yenu.
 
My sist, umeadimika au mimi?????????? Nimekumiss a lot

i think wote tuliadimika, nimejaa jamvini since last week.
So how is life treating you?
kwangu mimi it is fair kwa kweli.
 
uliza watu wako wa karibu kwani hauna demu wewe au hata mama yako muulize afu soln ni kupiga sana tizi elewa kupiga sana tizi nammanisha fanya sana mazoezi yale ya kukutoa jasho hata lita ukiweza kunywa maji mengi sana na maziwa fresh ya kutosha dailly hata kwa 2 months ukiweza kuafford!!!!!!!!!ukioga ogea sabuni kali zisizoacha chochote (uchafu) mwilini,make sure hauna nywele kokote kule sirini. hata kichwani piga low cut....usijipake mafuta ya mgando kabisa..kama upo pwani maji yana magadi so chemsha hayo maji ya kuogea kupunguza magadi na uogee ya moto....baada ya 2 months u ll be new..
 
Una uhakika gani ni harufu kutoka kinywani mwako na wala sio mwilini mwako au sehemu nyingine za mwili?
Kama unadhani harufu hiyo huwa inatoka kinywani basi fuata hatua zifuatazo;

1. Hakikisha unasukutua kinywa chako mara kwa mara kwa kutumia dawa ya meno.
Tambua ya kwamba vyanzo vikubwa vya harufu kinywani ni backteria na mabaki ya vyakula. Kuna vijishimo vingi vipatikanavyo kinywani ambavyo kuweza kutumika kama makazi ya vitu hivyo hapo juu. Hivyo yakupasa usafishe kinywa chako bila kusahau na ulimi wako kwa kusukutua mara kwa mara.

2. Muda wote hakikisha kinywa chako hakina ukavu kwa kunywa maji safi na salama.
Kinywa kikavu ndio sababisho la harufu mbaya kinywani, ndio maana wakati wa kuamka mara nyingi vinywa vyetu huwa vinatoa harufu mbaya. Mara nyingi unywapo maji unachochea utoaji wa mate mengi, faida ya mate ni kuwa na sifa ya kuwasafisha bakteria na wakati huohuo ina antiseptic na enzymes ambao huangamiza bakteria

3. Tafuna vitu kama "chewing gums i.e Big G, Bazoka n.k" hii itasaidia kupunguza harufu kali.
Vitafunwa jamii hii mara nyingi huchochea uzalishaji wa mate mengi, na faida ya mate nimeitaja hapo juu namba 2.
Pia vingi vya vitafunwa hutengenezwa kwa kuwekwa harufu yenye manukato mazuri.

4. Kula matunda jamii ya ndizi

5. jitahidi kutokufunga kinywa chako kw amuda mrefu

6. Onana na daktari wa meno
 
Maskini, pole
Nimesikia huruma kiukweli.

Labda jaribu ukioga lazima uoshe pua kila siku
Afu kwa mwili uwe unaoga na vitu vinayokata harufu kama ndimu na deodoranti wapaka

Ila kuhusu pua nenda hospital pia
 
i think wote tuliadimika, nimejaa jamvini since last week.
So how is life treating you?
kwangu mimi it is fair kwa kweli.

Pamoja na sarakasi zake ila namshukuru mungu naendelea vyema. Nimefurahi kusikia ulikuwa okay kwani hii dunia yetu haitabiriki. My family is doing fine though my daughters are suffering with maleria for the time being. How is yours.
 
Pamoja na sarakasi zake ila namshukuru mungu naendelea vyema. Nimefurahi kusikia ulikuwa okay kwani hii dunia yetu haitabiriki. My family is doing fine though my daughters are suffering with maleria for the time being. How is yours.

jamani wape pole nieces wangu, watapona tu and soon.
my kiddo is well, kanikosa mother's day (shule iliandaa mother's day event last sunday). the rest of family are well, Mungu katuongezea another member jana (niece wangu kajifungua) so kwa kweli nina kila sababu za kumshukuru Mungu.
 
jamani wape pole nieces wangu, watapona tu and soon.
my kiddo is well, kanikosa mother's day (shule iliandaa mother's day event last sunday). the rest of family are well, Mungu katuongezea another member jana (niece wangu kajifungua) so kwa kweli nina kila sababu za kumshukuru Mungu.

Mungu apewe sifa nyingi, tuwaombee wakue salama ili waufurahie huu ulimwengu tuliopewa bure. I'm happy for you and your family too, thank you.
 

dah!pole sana
jaribu kumuuliza rafi yako
wa karibu thn kutokana na jibu
lake utajua uchukue hatua ya kumuona doc o la!!
 
Back
Top Bottom