Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26. Ninatatizo moja nahisi harufu inayoka puani mwangu au mwilini mwangu ni mbaya. Ipo hivi labda nimetoka nipo njian natembea basi nikipishana na mtu yoyote basi kama hajashika pua atatema mate au labda ikiwa nipo na marafiki zangu basi hata kama siongei yule aliyepo karibu yangu atakuwa anatema mate kila baada ya dakika kadhaa basi ikiwa siyo hivyo kama tumekaa basi atafanya juu chini asimame ilimradi asogee kutoka pale tulipo kaa. Hakuna ambaye amewahi kuniambia kama ninanuka na mimi pia sijawahi kuwauliza hali hiyo,ila ninaihisi hali hiyo,Please naombeni ushauri wenu wana jf doctor!