Ninahisi hawa wawili ni Ndugu tena wa damu kabisa ila pengine hawajuani hivyo kwa tulio karibu nao tuwatambulishe

Ninahisi hawa wawili ni Ndugu tena wa damu kabisa ila pengine hawajuani hivyo kwa tulio karibu nao tuwatambulishe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nikimuona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma naiona Sura ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kila nikimuona Rais Kenyatta hasa Sura yake namwona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Juma. Wanafanana hadi wanaudhi kama siyo kukera.

Nawasilisha.
 
sometimes kama lissu sometimes kama Kenyatta
images (4).jpeg
378823e7a7-jaji-492x400.jpg
 
Back
Top Bottom