MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand.
Machawa taratibu akili zinawaingia.Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand.
Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu kama hawa hupatwa na AJALI ZA KISIASA au chama pendwa kubadili gia angani kwenye kuteua mgombea. Naona huyu boss kubwa kutoka kanda ya kati anatumia nguvu kubwa ila matokeo bado ni hafifu inabidi akaze sana.
Huyu wa ziwani ambaye kwa sasa anawakilisha kaskazini naturally ni mtu anayeweza kuteka hisia za wapiga kura. Ana hicho kipaji. Akicheza karata zake vizuri atasumbua. Ninadhani tusubiri wengine wajitokeze zaidi kama ilivyokuwa 2015.
P.Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.
Hizo pilika pilika na kukurukakara ni watu kujifurahisha tuu na kujifariji kuwa na wao ni presidential material, lakini mwenyewe wa 2030 tayari yupo.
P
Rais wa 2030 tayari yupo,muda muafaka ukifika, nitawatajia.P.
TUNAJUA KUWA RAIS WA 2030 TUNAYE, HATA UKISEMA WA 2060, NAYE PIA TUNAJUA KUWA TUNAYE. FAFANUA ZAIDI ILI TUWEZE KUKUELEWA
Mkuu wewe kukupinga ni ngumu maana ndo ulisema Magu ni rais ajaye mwaka mmoja kabla. Tafadhali tutajie huyo wa 2030Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.
Hizo pilika pilika na kukurukakara ni watu kujifurahisha tuu na kujifariji kuwa na wao ni presidential material, lakini mwenyewe wa 2030 tayari yupo.
P
Rais wa Tanzania 2030 tayari yupo,muda muafaka ukifika,nitawatajia!Mkuu wewe kukupinga ni ngumu maana ndo ulisema Magu ni rais ajaye mwaka mmoja kabla. Tafadhali tutajie huyo wa 2030
Wewe kma nani?Rais wa 2030 tayari yupo,muda muafaka ukifika, nitawatajia.
P
NAELEWA; UNGEKUWA KIFAA, KILIKUWA NI KIMOJAWAPO YA VILE AMBAVYO KWA KISAYANSI VINAITWA " PRECISION INSTRUMENTS"Rais wa 2030 tayari yupo,muda muafaka ukifika, nitawatajia.
P
Mimi kama miongoni mwa tunaopanga rais wetu wa 2030 awe nani!.Wewe kma nani?
uko sahihi 100% mwalimu Paskali.Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.
Hizo pilika pilika na kukurukakara ni watu kujifurahisha tuu na kujifariji kuwa na wao ni presidential material, lakini mwenyewe wa 2030 tayari yupo.
P
Kutoka team mtandao sio RiziMimi kama miongoni mwa tunaopanga rais wetu wa 2030 awe nani!.
P