Ninahisi Nimeadhirika na Ugonjwa wa Ukimwi

Ninahisi Nimeadhirika na Ugonjwa wa Ukimwi

You mean umeadhirika au umeathirika? I didn't catch you well.
 
Mzee pole, ila kumbuka dawa ya kwanza ktk mwili ni kuondokana na woga usio na msingi (phobia) jipe ujasiri na usijiogopeshe ukapime UTI na kisha Ukimwi ukipata ujasiri zaidi.
 
Nduguzanguni.

Mimi ni mkazi wa Shinyanga, I have my Girlfriend in Dar.

I came To Dar from The Monday of Last week.

Nimekuja purposely kumtimizia haja Girlfriend wangu kimapenzi.

Ukweli we no longer use any sought of protection, actually tunataka kufunga ndoa and we agreed that I have to be sure of her Fertility.

its almost a week and half since we are having sex. (unprotected)

Cha ajabu ni kwamba jana, nimeona kitu kama usaha kwenye njia ya mkojo ya uume wangu.

Am I not a walking dead creature.

yaani hapa nashindwa sasa naanzaje kwenda kupima ukimwi na hii viral inspection.

Please advise.

Thanks in advance

Kikelelwa.

nimepita tu mtani ntarudi baadae ngoja umeme urudi
 
Mzee pole, ila kumbuka dawa ya kwanza ktk mwili ni kuondokana na woga usio na msingi (phobia) jipe ujasiri na usijiogopeshe ukapime UTI na kisha Ukimwi ukipata ujasiri zaidi.

alivyoandika nahisi vyote vyake mpe pole kwanza tuendelee
 
Mungu yu mwema mkuu.jitibu ghono ukishapona ujipange kwenda kupima kazeze.
Maana sio jambo rahisi sana kupima hiyo kitu.
Ila mungu ni mkubwa! Mm binafsi niliwahi kulala na cd tukatumia ngao mara ya kwanza ila mara ya pili shetwani akatupitia tukaenda peku. Nikakaa siku ya kwanza,ya pili nikaanza kuona usaha.
Kuulizia kwa washkaji ni gono, nikajua tayari na ngoma nishapata. Lkn niko fit mpaka leo na ni miaka 9 imeshapita. Mungu mkubwa!
 
Gonjwa la zinaa hilo kaka, kama sio Gono basi Kaswende..haichezi nje ya hapo.
 
Katibiwe tu Mjomba ayo mambo yapo saana kwa Mwanaume ni rahisi kugundua mapema ila kwa Mwanamke ni vigumu sana mpeleke na uyo mwenzio mtibiwe wote suala la Ukimwi ni kupima tu kupata Gono haimaanishi kwamba na Ukimwi umepata.Pole sana Wadada dis tym sio waaminifu at all so take care in advance
 
Hiyo ni Gonorrhea ndo ambayo inajionyesha mapema sana kwa mwanaume within 48 hrs hivyo nenda hospital ukatibiwe utapona ngoma si rahisi kihivyo kujua within few days, kwa kupima ngoma inagundulika within 90 days na si dalili zake. Good luck
 
Kwanza umeniudhi kusema ami a walking.... Huo ni unyanyapaa what if km kweli una HIV?? Nenda kapime na upate ushauri nasaha mapema......
Hofu isipopata tiba sahihi ni hatari kwa ustawi wa afya yako kuliko huo ukimwi unaouhofia, angalizo
  1. Nenda hospitali upime nini tatizo la wewe kukojoa usaha ili ijulikane kama ni STD au vinginevyo ili upate tiba sahihi kwa wakati sahihi ili kuepusha madhara zaidi ikiwemo hiyo iloyokuwa unatest infertility.
  2. Ukisolbe tatizo la kwanza, sasa pima HIV status ili ikusaidie jinsi ya kuishi. Zingatia kila life style ina miiko yake hivyo kujijua upo vipi itakupa wigo mpana wa kutojiua.
  3. Kwa kuwa hiyo ni hofu, jitahidi sana siku nyingine kutumia CONDOM au ukishindwa basi muwe mnapima mara kwa mara na huyo mpenzi wako. Hii itamsaidia hata kama watu wanamchakachua basi hata kubali pekupeku hivyo kupunguza risk ya STD ikwemo hiyo HIV. Lakini ukijijengea mazoea ya kukaa miezi sita au saba kisha unakuja unamrukia tu mtu na kuondoka kwa kigezo cha kutest your likely to die man.
Ni mtazamo tu.
 
Hapa hakuna ushauri utakaokupa jibu la ugonjwa wako. Kuwa jasiri nenda ukapime.
 
ngosha mi nafikiri ujasiri uliokusukuma kupakua mzigo kavukavu, ujasiri huo huo hauwezi shindwa kukusukuma kwenda kucheck afya.....
wahi kuwaona wataalam wa afya, kama ni matibabu yaanze haraka!!
pole kwa stress
 
Pole sana kapime usihofu inaweza kuwa Gonolia
 
dah,pole sana Ngosha! Yah ni gono hilo.......wooooote, wewe na mpenzi wako mkatibiwe mapema! Mengine yafuate bada ya kupona hilo gono!
 
Back
Top Bottom