Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

Tulizana kwanza kabla ya kukurupuka endelea kumuuguza mama na Harusi ahirisha hadi utakapokuwa tayari. Kama ukiahirisha harusi atakufanya nini? Harusi za kulazimisha hizo lazima kutakuwa na sababu kubwa tu nawe ukiingia kichwa kichwa utakuja kujuta baadaye. TULIZANA.
 
Kuna nyuzi kibao humu za wanajamii wanapiga kelele kuhusu kuanzisha mahusiano siriaz na masingle mama kuwa ni janga,ulikua huamini?kimisingi umeingia cha kike,kazi kwako
 
Hivi kwanini mnaamua kuzaa bila kutumia akili? Kwanini mjifikirie nyie tu? Hao watoto mnafikiria hatma zao kweli? Au mnafikiri kila mwenye mbegu ni lazima azae?
 
Reactions: amu
Ni hiviiii kwanza pole kwa kuuguza mama.Mwenyezi Mungu amsaidie mama apone haraka.Pili najiuliza sababu ya ww kuingia gharama kisa mimba,concentrate na mgonjwa.Usijadili lolote kuhusu mimba Wala mahali.Yeye mwenyewe atachagua afanye Nini.Kuhusu 5m hebu tulipe wadau Kama Ada ya ushauri.FULL STOP
 
Bro pole kwa maswahibu ila ushauri wangu tuliza akili vizuri tafakari upya pros and cons kabla ya mambo mengine
 
Ingekua inawezekana mkuu huwezi amini hapa nilipo

nimesoma thread yote nimetamani mimi ndio ningekua wewe yani

nimetamni huyo mwanamke angekua wangu halafu angeona ningefanyaje.
 
Wanawake wanajuaga wanaume wakuwafanyia ujinga nakwambia arif hivi

mwanamke wa hivi ajue mume wangu n bandidu unafkiri anaweza kua jinga jinga hvyo!?

sema nikimfikiria huyu mwanamke sazingine inaweza kuwa hicho kichanga huko tumboni kinamuendesha.
 
Mkuu never make a promise you can not keep and never keep a promise you never made.Kwanza USILIPE MAHARI SASA HIVI.PILI USIMPE MSINGI SA HIVI.

Ila kwa maelezo yako inaonekana hujampenda na ndo umegundua sa hivi so POLE SANA.Keep the fire burning
 
Kuhusu kuuguza hakuna shida kiongozi huko wala hitajio sio pesa Huko hitajio ni Mwenyezi Mungu amponye tumepambana sana kwa miaka minne alikua anapata unafuu ila now naona hali imechange kabisa.
Mama anaumwa nn na umri ni miaka mingapi Pole sana. Subir hali ya Mama kwa lolote lile

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Poleeeeh sana, kiukweli nimetokwa na machozi kwa hali uliyopo, JAH ampe faraja na tumaini la uzima mama,
Kuhusu suala mahusiano yako, naona achana nae huyo mwanamke atakuja kuwa kikwazo kikubwa huko mbeleni ktk maisha yako.
 
Duuuh pole sana kaka ila kabla ya kufanya chochote kwa sasa hebu kaeni mezani muyapange vizr awe mpole asubilie mpka Hali ya mam ikae sawa kwa ulivyo waza ni sahihi watu wata shangaa kutoa mahalo wakati mama hajiwezi hebu muyajenge Kwanzaa
Mpaka hapo mwwnamke ameshaonyesha tamaa ya kutaka kuolewa bila kujali hali ya mama mkwe wako kwahiyo mkuu hapo hakuna mwanamke hata kama watakaa wayajenge lakin in reality hapo hakuna mwanamke,
 
Wamekuona mgodi na sitisha kabisa kuongea nao, kuwa bize kumuuguza mama! Hakuna mwanamke hapo hata hiyo 5M ni bora uipeleke ikaongeze nguvu kwa mama! Be a man mkuu,
 
Pole Sana Kaka! Uzuri umeshtuka mapema, achana nae huyo ni disaster kwa future yako
 
Samahani sana kwa kukuita mpumbavu sana wewe.

Hebu hangaikia afya ya mama yako mzazi kwanza halafu mengine yatafuata baadaye.

Au nayo unasubiri ruhusa ya huyo yezebeli wako unayemuweka mbele ya kila kitu hata kwa kugharimu maisha ya mama yako mzazi...
 
Kaka
Miaka 30 imeshindwa kukuzawadia hata hekima ya kuvukia barabara?
 
Be Kwan huyo Ni malaika?
 
Nijuavyo kelphin
Kama anakupenda wewe,Ni sawa nakuwapenda ndugu zako Kam wew
Haiingii akilini kuharakisha ikiwa mama anaumwa

Cool down,najua unampenda saaaana Ila Hilo lisikuendeshe
Amini usiamini mkuu Hilo Jambo linaweza kukupotezea direction yako yamaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…